CCM wanastahili lawama katika huu ufisadi

nyembela

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
412
523
Ndiyo wanastahili lawama nahata kupoteza sifa kuliongoza taifa hili. Waliwabeza na kuwaita majina mabaya watu wote waliotoa ushauri kwa serikali, naanza na wabunge hakuna asiyejua wabunge wa CCM ndio wengi bungeni katika vipindi vyote walikuwa na uwezo wa kuishauri serikali ili haya yasitokee lakini wao walifu kila kitu ambacho leo wanaungana na walee wafuasi wamabeberu.

Upo wapi uzalendo wao? Pili ni viongozi wote wanatokana na CCM leo wengi wao hawapo upande wa marehemu je'wanatupa ujumbe gani watanzania, hawakujua wajibu wao? Ufisadi huu kwa serikali ya CCM si wakwanza ila wao ndio waliyejipa kazi ya kung'arisha kila paliposemwa pachafu, leo hii wanakubali na kukiri kila walipong'arisha kwa maneno ni kweli palikuwa pachafu sana.
 
2494093_magu.jpeg
 
Ndiyo wanastahili lawama nahata kupoteza sifa kuliongoza taifa hili.waliwabeza nakuwaita majina mabaya watu wote waliotoa ushauri kwa serikali,naanza nawabunge hakuna asiyejua wabunge wa ccm ndio wengi bungeni ktk vipindi vyote walikuwa nauwezo wakuishauri serikali ili haya yasitokee...
Subiri wanakuja sasa hivi
 
Mtu mmoja hawezi kufanya mambo yote kwa ufasaha na ufanisi. (Mimi huyu huwa sishauriwi, ukifanya hivyo ndio unaharibu kabisa)

Kujaribu kufanya hivo ni kukufuru maana ni kujifanya Mungu.

Tangu lini binadamu akawa Mungu?
 
Ndiyo wanastahili lawama nahata kupoteza sifa kuliongoza taifa hili.waliwabeza nakuwaita majina mabaya watu wote waliotoa ushauri kwa serikali,naanza nawabunge hakuna asiyejua wabunge wa ccm ndio wengi bungeni ktk vipindi vyote walikuwa nauwezo wakuishauri serikali ili haya yasitokee...
Bunge kibogoyo
 
Mtu mmoja hawezi kufanya mambo yote kwa ufasaha na ufanisi. (Mimi huyu huwa sishauriwi, ukifanya hivo ndio unaharibu kabisa)

Kujaribu kufanya hivo nikukufuru maana nikujifanya Mungu.

Tangu lini binadamu akawa Mungu?
Jpm hakua na dira alikurupuka kila kitu ili apate sifa kama yeye sio kama chama, ndomaana chama kwasasa kina mgeuka katuingiza hasara kubwa kama Taifa.
 
Back
Top Bottom