Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake...
62 Reactions
513 Replies
62K Views
Wanabodi, Katika uendeshaji wa siasa zetu, tumewahi kuaswa mara nyingi tuu kuwa tusichanganye dini na siasa. Sisi Wakristo tumefundishwa na Bwana Wetu Yesu Kristo kuwa " Mpeni Mungu Yaliyo ya...
17 Reactions
69 Replies
11K Views
Si siri tena, sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia. Ni kwanini bunge letu linakosa...
10 Reactions
67 Replies
6K Views
Mageuzi ya tabia na taasisi mpya Katika miaka ya 1950 na 1960, mapinduzi ya kitabia yanayosisitiza utafiti wa kimfumo na kwa ukali wa kisayansi juu ya tabia ya mtu na kikundi ulifagia nidhamu...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Naomba nitumie fursa hii kama kijana nami kutoa ya moyoni hasa kuhusiana na kinachoendelea. Imefika wakati sisi kama vijana tutafakari kwa kina mstakabari wa nchi yetu na tuepukane na sera za...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Taarifa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya uchambuzi wa ACT Wazalendo wa taarifa ya CAG ya mwaka 2019/2020. Je, hili shirika halijageuka "mchwa" kwa watanzania? Hivi viongozi wa nchi hii...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kamati ya Bunge Mambo ya Nje na Usalama imewasilisha hoja maalum katika Kamati ya Bunge ya Uongozi kuhusu migogoro ya fidia kati ya wananchi na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). Akizungumza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani. Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya...
33 Reactions
144 Replies
11K Views
Kama kuna Wizara ngumu kwa makandarasi nchi hii, basi ni Wizara Ya Maji. Wizara hii haijielewi katika fani ya ujenzi. Matatizo waliyonayo wizara hii ni tofauti kabisa na wizara nyingine. Ni...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
Huyu huyu CAG Kichere alikuwa Commisioner General TRA. Haya madudu tunayoyaona vile vile anahusika nayo. Ubambikaji kodi Kunyang'anya fedha za wafanya biashara benki. Kufungia biashara. Hawezi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL, kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato...
23 Reactions
169 Replies
17K Views
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli. Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
3 Reactions
35 Replies
3K Views
"NAAAM....! Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote...
60 Reactions
243 Replies
15K Views
Mzee Wasira ambaye amekuwa waziri katika serikali tangu uhuru mpaka serikali ya awamu ya nne ya JK amesema Kiwango cha furaha kwa Watanzania kimeongezeka. Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na...
28 Reactions
190 Replies
14K Views
Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari...
11 Reactions
84 Replies
10K Views
U-turn signals za Rais wa kambo wa JMT zimesababisha mawimbi ya unafiki kutamalaki miongoni mwa viongozi wanaotokana na chama tawala (CCM)! U-turn signals alizotuma Rais wa kambo bila shaka...
11 Reactions
91 Replies
8K Views
Ebu eleza vyema hapa, ni kitu/jambo gani ambalo limewahi kufanywa na mwanasiasa (bila kujali chama) au Kiongozi yeyote Mwandamizi Serikalini na likakukera sana. Karibuni mfunguke hapa.
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Zipo hoja nyingi zinazohitaji msukumo wa kisiasa, msukumo huo ni vigumu kuupata ndani ya chama Tawala ila utaupata upinzani. Upinzani vyama vyote vimepoteza dira isipokuwa baadhi ya viongozi wa...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge...
35 Reactions
154 Replies
12K Views
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi...
25 Reactions
108 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…