Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,716
Nimewasikiliza CAG na yule ex CAG wote wanajifanya as if ni watakatifu kwa kuongea mabaya tu ya utawala wa awamu ya 5 bila kubalance story zao.
Tunatambua wanajua Watanzania hatuna ufahamu mkubwa wa kuelewa mambo mengi yanayo endelea hapa nchini.
Pia tunatambua hawa CAGs wote wawili wanatumika kisiasa kuchafua utawala wa awamu ya 5 ya mzee wetu Magufuli.
CAG Kichere amewahi kuwa mhasibu pale Tanroad na ana madudu mengi tu ambayo yanam-disqualify kuikosoa serikali ya Mzee Magufuli.
Kitendo cha hawa CAGs wote wawili kujitokeza wakati huu baada ya Mzee wetu kufariki ni dalili kwamba hizi ni hasira za wao kutumbuliwa kwa kuto tekeleza wajibu wao.
Ukiangalia kitu wanacho tuaminisha kwamba ji ufisadi, hauzidi bil 10 ukilinganisha ni bil 400 za EPA au skendo za Mkapa za radar. Pesa nyingi zinazotajwa zimetumika kwenye kazi za maendeleo japo bila kufuata utaratibu ukiacha issue za kina Kingwangala.
Mfano anasema serikali iliuza nyumba kwa mil 6 pale kariakoo na ikanunua nyumna hizo hizo kwa mil 260 ili kujenga kituo cha mwendo kasi hasemi nyumba zilinujuliwa lini.
Nyumba zilinunuliwa miaka ya 70 kwa mil 6 na zimenunuliwa kwa mil 260 mwaka 2021. Hivi huu nao ni ufisadi?
Washauriwe kuacha kutumika kisiasa kymachafua matehemu, wataendelea kuanekana ni waganga njaa kama waganga njaa wengine.