Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
2,487
Reaction score
2,395
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
 
Umejikakamua kweli lakini naona hakuna comments kabisa. Mie kama mwana nacomment hivohivo usijisikie vibaya. Ila punguza pumba
Mkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.
 
Naona wajumbe wa kamati ya maadili ya bunge mmeanza kuvujisha maswali ya Profesa Assad siku hiyo ya wito.

Ni hivi, hilo suala la nyumba za umma linaanza na mkuu wa nchi na wala hutajasahau kwa hivyo, na hili haliondoi ukweli kuwa bunge ni dhaifu fullstop.
 
Naona wajumbe wa kamati ya maadili ya bunge mmeanza kuvujisha maswali ya Profesa Assad siku hiyo ya wito. Ni hivi hilo suala la nyumba za umma linaanza na mkuu wa nchi na wala hutajasahau kwa hivyo, na hili haliondoi ukweli kuwa bunge ni dhaifu fullstop.
Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Sikia huyu kilaza nalilia udini sikuzote ulikuwa wapi alafu umeandika vizuri alinunua sio alijipa bure Mali ya umma vipi mkuu alipouza nyumba za serekali nayeye hakuchukua yoyote au zozote?unalala mimika udini nikuulize we punguwani je teuzi za mkuu zinazingatia huo udini? Nssf kwa sasa ambapo hayupo dau unaweza kutwambia ikoje kuhusu huo udini tuone ubaya wa dau usizungumze udini haswa ukiwa mgalatia kwani mfumo wanchi unawanyima haki imani nyingine bado unavumilika nahisi ilekauli aliotoa kiongozi mmoja yakuwa kunawatu wanadhani kuwa wao wanahaki kuliko wengine na kauli hiyo iliwalenga wagalatia kwakuwa hawakupenda waione imani nyingine katika uongozi
 
Profesa assad akiwa mjumbe wa board ya nssf miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya board ya uwekezaji ya nssf (MIC) Alijinufaisha ktk kununua nyumba za nssf huko tanga bila kujali conflict of interest, nyumba hizo zilizouzwa pia kuna mkurugenzi mmoja wa nssf bwana kidula ambaye nae alikuwa mwenyekiti wa tender board ya management ya nssf nae alijitwalia nyumba kadhaa za tanga na dodoma.Katika kipindi cha Dau nssf mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue, mfano nyumba za kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao. Kwa mfano kuna mtoto wa profesa mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko nssf alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa.Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakaz wa nssf lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
huyo ndo assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau nssf ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Tumia akili acha kuandika mapumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau

Narudia tena, nyumba za nssf hazina tofauti na nyumba za umma alizouza Magu, kwahiyo kutuambia huo utoto wakati huu ni kutuona sisi ni wajinga. Bunge lituambie zilipoenda 1.5t. Na ukweli wa kwamba bunge ni dhaifu hauondoki kwa huu utoto mlioleta hapa.
 
Back
Top Bottom