Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,751
143,201
Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais.

Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?

Kila zama na kitabu chake!

Maendeleo hayana vyama.
 
Yuko wapi Bashiru Ally Kakurwa aletaka urais kwa sababu tu uswahiba na Jiwe akatishia Jeshi wasigine katiba apewe yeye aludhania sawa na kuteuliwa na kusigina katiba ? Amezoea za mdondo !!
 
Weka ushahidi wa hao vijana wa Chadema kumuogopa VP. Mods tafadhalini thread kama hizi zinashusha sana hadhi ya JF,huyu jamaa amejipa jukumu lakupost uongo kuhusu Chadema na viongozi wake kila wakati na kukaribisha mijadala isiyokuwa na afya,please stop this nonsense.
 
Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.

Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?

Kila zama na kitabu chake!

Maendeleo hayana vyama.
Amegeuka kuwa chatu au jini mpaka wamuogope?
 
Vijana wa Chadema ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dr Mpango kuwa makamu wa Rais.

Je, ni kwa sababu amewashauri wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?

Kila zama na kitabu chake!

Maendeleo hayana vyama.
Mkuu CHADEMA kutompenda Dr.Mpango is expected,he is a no nonsense person,a nationalist and a leader who will stand firm against anybody who will dream of stealing our resources.

Sasa CHADEMA ni makarai ya zege ya mabeberu,watampendaje Dr.Mpango,huku wakiwa wamepewa kibarua cha kuwasafishia mabeberu njia ili waibe resources,na wameshindwa kibarua kimeota nyasi?

Si unaona mgombeo wao wa Urais Lissu yuko kwa mabeberu anawafuta viatu mabeberu na wamempa ajira ya hovyo kabisa:eti mtetezi wa mashoga Ulaya!Aibu sana.Eti huyu ndiye aliyetaka kuwa Rais wa Watanzania,hivi CHADEMA wanawaona Watanzania kwamba ni mapoyoyo sana,eti?!Sasa nadhani Watanzania wanaona wazi what CHADEMA really is,wafanye maamuzi sahihi na ya busara.CHADEMA ni lazima wajue kwamba Watanzania sio wajinga tena,Comrade Magufuli amewaamsha from their slumber.
 
Back
Top Bottom