Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Innocent Msengi ni ndugu na rafiki wa karibu wa Dr. Mwigulu. Huyu bwana hujinasibu alimaliza kidato cha nne. Lakini ukweli ukweli hatakiwi kujisema...
Mimi nina wasiwasi wa huyu Spika wetu na China. China wamekuwa wakinunua viongozi wa Africa kwa manufaa yao.
Leo hii baada ya Rais Magufuli kufariki huyu spika sasa anataka kumburuza Rais Mama...
"Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue "
Hayo yalikuwa ni maneno ya...
Ndugu zangu,
Nawaita wazalendo wa nchi hii popote mlipo, msikubali tuchezewe tena na hawa wapumbavu, walafi wa mali za nchi yetu.
Nawazungumzia hawa waliomo miongoni mwetu wanaotaka kunadisha...
Mzee Paul Kimiti ambaye amewahi kushika nyadhifa mbalimbali nchini ikiwemo ubunge, ukuu wa mkoa na uwaziri kuanzia enzi za mwalimu Nyerere amemmwagia sifa za kutosha Rais Magufuli.
Mzee Kimiti...
Ndugu Watanzania wenzangu, pamoja na siku 21 za kuomboleza kifo cha Hayati Dr. Magufuli kuisha. Mimi bado naomboleza mpaka 40 yake ipite!
Kuna makala yangu moja humu JF niliwahi kumtahadharisha...
Wanabodi, Hakika maamuzi ya JPM sasa yameanza kulipa kwa Watanzania hasa Graduate
Udhibiti wa mapato kwenye halmashauri hasa kufuta ujinga wa posho na semina hakika sasa miradi inaonekana na...
Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.
Katika ukaguzi...
Ukiangalia huu atafunwaji sio mgenu i make report zote za CAG kuna utafunwaji mkubwa. Tena kwa wanao jua mambo ya Auditing ni kwamba huu utafunwaji ni ule unao onekana na Auditor ila pia huwa kuna...
Plato alipata kusema. "We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light"
"Tunaweza msamehe kirahisi mtoto anayeogopa giza...
Wakuu nawasalim.
Nimefuatilia ziara za Rais alizozifanya katika mikoa mbali mbali na hata hii ziara yake anayoifanya Mbeya.
Rais akitembea na pesa nyingi sana tena cash kwa ajili ya kugawa...
SIKUWA MJINGA, NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO NDUGAI AMEJIBU.
Na Yericko Nyerere
Job Ndugai mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala Tanzania, ananirejesha...
Ukitafakari kwa kina utaona hakuna umuhimu wa ripoti ya CAG kupelekwa Bungeni. Spika wa Bunge amekuwa mtu wa Kwanza kudharau kazi ya CAG ambayo wapo wataalamu wanalipwa kuifanya.
Aliikataa bila...
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta utaanza mwezi Aprili na sio Julai kama ilivyopangwa awali
Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri...
Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.
Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?
Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala...
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli.
Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and...
Nimefuatilia hotuba za mgombea wa ccm toka siku ya kwanza ya ufunguzi wa kampeni pale jangwani nimegundua ni mtu makini na anayefuatilia mambo.
Nimegundua ni mtu anayejiandaa kabla ya kuingia...
Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure .
yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya...
Akihojiwa na Charles Hilary juu ya matumizi makubwa nje ya Bajeti au kuidhinishwa na Bunge kama mkaguzi anasemaje.
Amejibu sheria inataka kama kuna matumizi ya ziada ilitakiwa kuwasilishwa...