Mbowe:Kushirikiana na Zito si jambo la ajabu

Kaputula La Marx

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
562
494
Nimeisoma kweye facebook page ya Zitto
 

Attachments

  • 1454489716514.jpg
    1454489716514.jpg
    41.3 KB · Views: 29
Wao itakua ni watu wa ajabu sana kuwahi kutokea....nashindwa kuwaelewa wanasimamia katika lipi....watu wasio na msimamo hawafai kuliongoza taifa hili...
 
hakuna uadui ktk siasa,

Lowassa angeenda ACT bado CDM wangemwita fisadi, na Zitto angejitahidi kumsafishaa.

Hii ndio siasa lkn ipo Africa tuu.
 
Back
Top Bottom