Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Iangalie picha hii halafu toa ujumbe ulioupata

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,574
Reaction score
14,331
Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.

Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?

Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.
FB_IMG_1616947792122.jpg
 
Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.

Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?

Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932

The expressions on the faces of the two “people“ who are facing The President?!

The fording of their hands forward toward their genitalia for one?! And stomach area for the other?!

The bitterness aura portrayed?!

Hebu wataalamu wa body language mtusaidie tusiojua!
 
Wanajamvi, picha huongea mengi.
Moja Kati ya picha nzuri kwa Leo ni hii.

Je ukiiangalia inakupa ujumbe gani?

Long live Madam President,,, yaani ni Kama ulijiandaa kuishika nafasi hii na wala hujasukumizwa Wallah.View attachment 1736932
Nataka mfuate msitari na maagizo yangu. Hutaki nakutumbua kama nilivyomtumbua wa bandari
 
Back
Top Bottom