Wanasiasa wameigeuza sekta ya afya kama kinyago cha mpapure

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure .
yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya afya.

Yaani Mbunge,Waziri,DC,Diwani na viongozi wa vijiji wote kazi yao ni kuwasimanga watumishi wa afya na kubeza kazi zao.

ukija kwenye kupanga bajeti ya maendeleo husikii wakiongelea sekta ya afya zaidi ya kurusha madongo tu.

Kwa kuwa wao wana bima na hela ya kutibiwa wao ,wake zao na ndugu zao basi.

wekezeni kwenye afya kivitendo sio kutema shit tu.

CC; Pdidy
 
Back
Top Bottom