CAG Kichere, Ofisi ya Makamu wa Rais hukuikagua?

Chanyauru

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
273
500
Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.

Katika ukaguzi wako umeona madudu karibu kila sehemu ila cha kushangaza ofisi ya makamu wa Rais hujaigusia kabisa au kule mambo saaaafiii?

Ninachokushauri tu muraa ni kwamba unafiki hautakusaidia lolote na kwa hili Wana Mara umetushusha mno! Haihitaji kuwa na PhD kuelewa kuwa hiyo ripoti yako imejaa uchuro hamna lolote, Watanzania wanaona na muda utaongea.
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
3,105
2,000
Huu ni utoto sasa, nani alikuambia ofisi ya Makamu wa Rais report yake huwa inatolewa public? Basi mbona hujauliza report ya jeshi? Usalama wa Taifa, Polisi? Wizara ya Mambo ya Ndani na ofisi ya Rais?

Kuwa makini kabla ya kuleta thread yako unaweza kuwa una Nia nzuri lakini inakupunguzia heshima japo unatumia ID tu ila hata ID zinaheshimika humu.
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
4,021

Mbona mkali kauliza tuhakujua kama haitolewi public na kwani i haiko oublic wakayi yeye no publoc figure
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
6,867
2,000
Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.

Katika ukaguzi wako umeona madudu karibu kila sehemu ila cha kushangaza ofisi ya makamu wa Rais hujaigusia kabisa au kule mambo saaaafiii?

Ninachokushauri tu muraa ni kwamba unafiki hautakusaidia lolote na kwa hili Wana Mara umetushusha mno! Haihitaji kuwa na PhD kuelewa kuwa hiyo ripoti yako imejaa uchuro hamna lolote, Watanzania wanaona na muda utaongea.
Wewe ni mpumbavu halafu unajifanya mjuaji!
 
ibramy

JF-Expert Member
Jul 23, 2019
449
1,000
Kama ipo ivyo haziwi public ni kwann? Kuna haja yakurekebisha iyo sheria maana haiwezekani zisitolewe kwann iwe ni siri wakati pesa zinazotumika niza wananchi walipa kodi??? Na hii inakuwa sio fair cuz nina uwakika hata uko madudu yapo sasa nani atawajibika kwa makosa ya office ya raisi, na makamu kama report zao hazisomwi hazarani??? Hii sheria haipo sawa wote hao niwatumishi wetu na sisi wananchi hatutaki unafiki watoe kila kitu kama walivyofanya kwenye taasisi nyingine...!!!!" maana hayati keshaonekana office yake haikuwa safi kwa upotevu wa pesa nyingi basi na izi office nyingine watuambie tu tujue
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
10,892
2,000
Na ukaguzi wa Ikulu uwe wazi basi, hadi vote 20 ikaguliwe, usitake kuishia kwa makamu tu.
Kama ipo ivyo haziwi public ni kwann? Kuna haja yakurekebisha iyo sheria maana haiwezekani zisitolewe kwann iwe ni siri wakati pesa zinazotumika niza wananchi walipa kodi??? Na hii inakuwa sio fair cuz nina uwakika hata uko madudu yapo sasa nani atawajibika kwa makosa ya office ya raisi, na makamu kama report zao hazisomwi hazarani??? Hii sheria haipo sawa wote hao niwatumishi wetu na sisi wananchi hatutaki unafiki watoe kila kitu kama walivyofanya kwenye taasisi nyingine...!!!!" maana hayati keshaonekana office yake haikuwa safi kwa upotevu wa pesa nyingi basi na izi office nyingine watuambie tu tujue
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
84,160
2,000
Jikite kwenye hoja,jadili hoja na usiwajadili watu,au ulitaka tu uonekane kua na wewe umo humu?
Sikiliza kijana , Jiwe kishaondoka na mambo yake yote yamekwenda , NEVER AND NEVER AGAIN , nyie wachumia tumbo wa kusifu na kuabudu tafuteni kazi za kufanya wanafiki wakubwa nyie !
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
52,984
2,000
Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.

Katika ukaguzi wako umeona madudu karibu kila sehemu ila cha kushangaza ofisi ya makamu wa Rais hujaigusia kabisa au kule mambo saaaafiii?

Ninachokushauri tu muraa ni kwamba unafiki hautakusaidia lolote na kwa hili Wana Mara umetushusha mno! Haihitaji kuwa na PhD kuelewa kuwa hiyo ripoti yako imejaa uchuro hamna lolote, Watanzania wanaona na muda utaongea.
Ofisi ya Rais ilikaguliwa?
 
Emmanuel Kasomi

Verified Member
Sep 3, 2014
4,712
2,000
Nikupe pongezi kwa shughuli pevu ya kukagua hesabu za Serikali, bila shaka tumeona ni kiasi gani fedha za Serikali zimepotea pasipo kufikia malengo kusudiwa, nikupongeze kwa hilo.

Katika ukaguzi wako umeona madudu karibu kila sehemu ila cha kushangaza ofisi ya makamu wa Rais hujaigusia kabisa au kule mambo saaaafiii?

Ninachokushauri tu muraa ni kwamba unafiki hautakusaidia lolote na kwa hili Wana Mara umetushusha mno! Haihitaji kuwa na PhD kuelewa kuwa hiyo ripoti yako imejaa uchuro hamna lolote, Watanzania wanaona na muda utaongea.
Nishaongea nae aache kitete
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom