Wasomi acheni kulialia saizi bora mkae kimya

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,873
Reaction score
7,143
Maprofesa wasomi wetu kwanini mnalialia.
Nime wasikia ma pro, wakikosoa baadhi ya miradi iliyo anzishwa na hayati Magufuli.

Wengine wanaponda bwawa la umeme wakisema lakizamani, wengine wanaponda, manunuzi ya ndege nk, nk, ilimradi wasikike.

Swalihapa mbona wakati rais Magufuli alipokuwa hai hawakuongea mambo yote haya??

Tatizo nini uoga? yani walikuwa wanamuogopa rais? Yani mtu na elimu yako unaogopa kukosoa serikali sasa nani atakosoa.

Mlikuwa mnaogopa nini, kufungwa jela amavipi.

Kama ndiohivyo manayake hamfai hata kuwa wajumbe wa nyumba kumi maana sifa ya kiongozi kwanza hatakiwikuwa muoga.

Alafu hawahawa waoga utawasikia wanataka uongozi,narudia tena, sifaya kiongozi kwanza hatakiwikuwa muoga.

Duniani pote hakuna shujaa muoga. Magu anaonekana shujaa kwasababu alikuwa mtu wa maamuzi na aliyasimamia maamuziyake.

Wazalendo wenye akili sasa tunaona matokeo yake.

Tundu lisu amepata umaarufu kwasababu hakuwa muoga alisimama na kupinga hadharani yalealiyoamini yeye kwamba ni makosa.

Sasa nyinyi maprofesa mlikaa kimya mudawote, leo mtu amekufa etindio mnaamka na kuanza kukosoa kosoa kilakitu mnatia aibusana nawachukia.
 
Mzee wa spana!😁😁😁
617950972148.jpg
20210092523.jpg
 
Naona mmetumana kuja kuanzisha threads za aina hii tofauti ni titles tu ila contents ni zile zile. Mods ziunganisheni zote ziwe sehemu moja.
 
Maprofesa wasomi wetu kwanini mnalialia.
Nime wasikia ma pro, wakikosoa baadhi ya miradi iliyo anzishwa na hayati Magufuli.

Wengine wanaponda bwawa la umeme wakisema lakizamani, wengine wanaponda, manunuzi ya ndege nk, nk, ilimradi wasikike.

Swalihapa mbona wakati rais Magufuli alipokuwa hai hawakuongea mambo yote haya??

Tatizo nini uoga? yani walikuwa wanamuogopa rais? Yani mtu na elimu yako unaogopa kukosoa serikali sasa nani atakosoa.

Mlikuwa mnaogopa nini, kufungwa jela amavipi.

Kama ndiohivyo manayake hamfai hata kuwa wajumbe wa nyumba kumi maana sifa ya kiongozi kwanza hatakiwikuwa muoga.

Alafu hawahawa waoga utawasikia wanataka uongozi,narudia tena, sifaya kiongozi kwanza hatakiwikuwa muoga.

Duniani pote hakuna shujaa muoga. Magu anaonekana shujaa kwasababu alikuwa mtu wa maamuzi na aliyasimamia maamuziyake.

Wazalendo wenye akili sasa tunaona matokeo yake.

Tundu lisu amepata umaarufu kwasababu hakuwa muoga alisimama na kupinga hadharani yalealiyoamini yeye kwamba ni makosa.

Sasa nyinyi maprofesa mlikaa kimya mudawote, leo mtu amekufa etindio mnaamka na kuanza kukosoa kosoa kilakitu mnatia aibusana nawachukia.
aibu kwao wanafiki wakubwa...............
 
Umetoa mfano mzuri wa Lissu, alikosoa akapigwa risasi 16 akakimbilia nje ya nchi. Hivyo ulitaka maprofesa nao wapigwe risasi wakimbilie nje? Utawala wa kidikteta haukosolewi, walinyimwa haki ya kuongea, sasa hivi kuna uhuru, acha waongee
 
Shujaa haogopi kufa.Maprofesa sio mashujaa n wanataaluma tu.Zama hizi hatuna mashujaa Bali tumejawa na vibaraka na wachumia tumboni na wasomi waliojawa na tamaa kuliko jini mahaba au popobawa
 
Umetoa mfano mzuri wa Lissu, alikosoa akapigwa risasi 16 akakimbilia nje ya nchi. Hivyo ulitaka maprofesa nao wapigwe risasi wakimbilie nje? Utawala wa kidikteta haukosolewi, walinyimwa haki ya kuongea, sasa hivi kuna uhuru, acha waongee

Ndio, nimetoa mfanohuo kwasababu kiongozi nilazima uonyeshe msimamo wako bila kujali nini kitatokea.

Hayati Magufuli alionyesha msimamo wake waziwazi na akasema hajali hata ikimgarimu maishayake yeye amejitoa sadaka kwa watanzania. " Mungu Mrehemu"

Kama unadhamira ya dhati ya kuikomboa nchi onyesha msimamo wako.
Sio kuwa kama kunguru.
Kujifanya kukosoa tu mipango ya marehemu.
Maana watu watakuambia ungesema hayo wakati yuko hai labda angekuwa na hoja ya kuhalalisha mipangoyake na watu wangepima.

Unafiki nimbaya sana bora kujiuzulu kulinda heshima, sio kusubiri mbaka muharibifu hayupo ndio unajifanya kupigia watu makelele iliuonekane mjuaji nikujiaibishatu mbele za watu wenye akili.
 
ata nao wanafamilia ulitaka wauliwe.

kukosoa serekali ya jiwe adhabu yake ni kifoo.
Huo ni mtazamowako, mnapenda kuunganisha taarifa zisizokuwa na ushahidi ilikuleta chuki kwa watu na viongizi wao.

Kama nihivyo then mtu muoga hafai kuwa kiongozi.
Nikama kuna stori zilikuwa zinapigwa zamani kwamba manjagu wakisikia milio ya risasi wanajificha,majambazi wanakwiba wakishaondoka ndio nawao wanakuja kwa mbwembwe na mikwara lukuki.

Nadhani umeelewa huomfano.
 
Back
Top Bottom