Rais Samia Raia wa Uganda wamekupenda mno hivyo ukienda Kesho katika Ziara yako ya Kwanza waambie haya..,.

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Waambie..." Tanzania ni ile ile tu anayoijua Rais Museveni isipokuwa hii ya sasa iliyo chini yako ni ya Kiustaraabu, Makini na ya Kiungwana zaidi..."

Pia waambie..." Tanzania ya sasa imejikita zaidi katika Kuimarisha zaidi Uhusiano wake na Majirani zake tofauti na ile ya 25 Oktoba,2015 hadi 17 Machi,2021 iliyohatarisha mno huo Uhusiano..."

Mwisho waambie..." Tunawaomba Matajiri Wakubwa wa Uganda akina Mukwano na wengineo waje Kuwekeza Tanzania kwani tayari TRA chini yako wameshaambiwa waache Ukatili wao katika Ukusanyaji wa Kodi ambao walifanya Kipindi cha Mtangulizi wako... "

Ukimaliza mwambie Rais Museveni kuwa... " Unaomba ule Ujenzi wa Bomba la Mafuta sasa uanze mara Moja kwani zile Pesa zilizotengwa na Tanzania ambazo zikaelekezwa Kibinafsi kuijenga Chato zimerudishwa katika Bajeti hiyo ya Ujenzi huo Muhimu kwa Uchumi wa Tanzania na Uganda
..."

Generalist nakutakia Safari njema Kesho huko nchini Uganda na Waganda waliposikia Kesho Jumapili tarehe 11 April 2021 unaenda Kwao ( kwa Ziara ya Kikazi ) wamekufurahia wakisema kuwa hata Sura yako inaonyesha Furaha, Upendo, Amani na Matumaini.
 
Pumba dot.com
 
WAMAMA WADHAIFU SANA. MWAMBA FREEMAN MBOWE KUITISHA TU PRESS CONFERENCE KALA KONA UGANDA. MAMA USIOGOPE KABISA MBOWE MTUMIE SIYO ADUI.
 
Back
Top Bottom