Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi amewaeleza watanzania waishio Ufaransa kuwa Tanzania imechukua hatua zote muhimu katika kupambana na Corona.
Prof Kabudi ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa...
Salamu kwenu,
Kumekuwa na kelele nyingi kuwa ndege zetu hazina maana yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Watu wanaenda mbali zaidi kuhoji ikiwa flyovers za Dar es Salaam zina umuhimu wowote kwa...
Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho.
Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu...
Uchumi wa Viwanda ilikuwa ni Sera Kuu ya kiuchumi iliyojinasibu JPM Mwaka 2015!
Tumesoma katika mafanikio ya Awamu ya Tano kuwa vimejengwa Viwanda vingi Sana katika Awamu hii.
Kongole kwa CCM...
1.Kwa nini serikali inamiliki ndege?
Ndege zilinunuliwa kama hitaji muhimu kwa wananchi au fahari ya taifa?
2. Serikali kuhamia Dodoma.
Serikali ilihamia Dodoma ili kumuenzi Nyerere kama baba wa...
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.
Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa kuhurumiana ikiwa ni pamoja na kuwasaidia wanyonge wakiwemo...
Moja kwa moja kwene hoja.
Kile kinachoendelea Bungeni kwa sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli ni aibu tupu. Utawala(siyo Uongozi) wa Spika Ndugai unazidi kuliaibisha na kushusha hadhi ya Bunge...
Mheshimiwa Msukuma amepata umaarufu mkubwa siku za karibuni haswa kwa kumkejeli Profesa Muhongo mwenye kuamini kwamba umeme wa gesi ni suluhisho la suala zima la nishati hiyo. Ni mawazo ya Profesa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea.
Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Geoffrey Mwambe amesema anatamani wale wanaojaribu kutoa ushauri wa hapa na pale kuhusu nini Rais afanye wampe nafasi afanye kazi yake. Ameeleza...
"Elimu ni ufunguo wa maisha" hii ni kauli ambayo wengi wengi tumeisikia sana katika juhudi zetu za kutafuta maarifa na ujuzi kwa ajiri ya maisha yetu. Lakini kwa mazingira ya Tanzania elimu...
Ndugu Wana Jukwaa
Kuna maneno mengi yasioningia katika mizani ya akili yanayozungumzwa na watu hasa wenye asili ya Tanganyika kuhusu Zanzibar na Uzanzibari. Watu wamekuwa wakiunda historia ya...
Ikumbukwe kuwa Zitto Kabwe na Freeman Mbowe walitoa hotuba zao siku moja ila walipishana masaa tu.
Zitto Kabwe alijikita kwenye ripoti ya CAG na akaelezea ubadhirifu katika maeneo kadhaa ikiwemo...
Wanasema dunia haiko sawa hata kidogo, maana kuna watu wanatafuna mabilioni lakini hawaguswi ila hawa wanaokula laki moja wanabanwa mbavu,lakini ndio sheria ilivyo. Au kosa kumuomba muuza karanga...
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema...
Naomba kuuliza hivi TANESCO siyo shirika la umma? Maana yake kukaguliwa mara ya mwisho ilikuwa 2018.
Kutoka na taarifa Mkaguzi Mkuu wa serikali mwaka huu wamekiambia kukaguliwa na hawakaguliwa...
Yote ni dhahiri mno na tunayaona kote bungeni na hata serikalini:
"Dhuluma dhidi yetu haziwezi kuachwa ziondoke zenyewe au kuachiwa mtu aje na huruma zake kuziondoa au kuachiwa kudra zake mola."...
Ukweli ndio huo, kwa hiyo tuache kukariri maneno ya uongo kuwa eti Ccm wanapendelea Chato peke yake.
Leo mkandarasi Beijing MS Cons En Group amekabidhiwa site huko Musoma kazi ni miezi 20