CHADEMA wazuiwa kufanya mkutano Mbarali

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
7,225
2,000
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.

Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe.

Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?

Screenshot_20210416-132515_1.jpg
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,855
2,000
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.
Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe
Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?
View attachment 1753528
Ukiona mtu mwenye akili zake anamsifia Bashite basi anza kumuondoa kwenye watu wenywe busara.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,855
2,000
Leo chadema kupitia viongozi wao wa bavichaa wamekatazwa kufanya mkutano mbarali na jeshi la polisi.
Naona walikuwa wanam-beep mama, mama Samia shikilia hapohapo mpaka wakuheshimu maana wanakuchukulia poa Sana
Nipo pamoja na jeshi la polisi, wahuni wote wanaotaka kum-beep mama samia wadhibitiwe
Chadema hamna msimamo kwa hiyo Sasa hivi corona imeisha Hadi mnafanya mikutano? Kwa hiyo Sasa hivi tusivae tena barakoa na tukusanyike kama kawaida?
View attachment 1753528
Kwa taarifa yako tayari rais Samia ashalijua kundi lenu kuwa ni kundi hatarishi .
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,855
2,000
Jamani si kuna CORONA jamani msimamo wa CHADEMA sasa imekuwaje kushiba kambale Ubaruku na kupata nguvu ya kuitisha Makutano wa hadhara isitoshe saizi ni muda wa kuvuna mazao yetu shambani
Kwani 40 imetimia? Ya shujaa wa Afrika?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom