Naomba kujua, ni viwanda vingapi vimejengwa mkoani Singida kati ya mamia ya viwanda vya Awamu ya Tano?

Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,217
2,000
Uchumi wa Viwanda ilikuwa ni Sera Kuu ya kiuchumi iliyojinasibu JPM Mwaka 2015!

Tumesoma katika mafanikio ya Awamu ya Tano kuwa vimejengwa Viwanda vingi Sana katika Awamu hii.
Kongole kwa CCM!

Binafsi napenda kujua kwa upande wa Mkoa wa Singida hivi Viwanda vimejengwa Vingapi na wapi!?

Ni vema pia tukajua ni Viwanda vya aina gani?
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,064
2,000
Cha kwanza Ni kiwanda cha uongo Cha Chadema kilichoko singida kinachojulikana kama Tundu Lisu Lying Industry Ltd
Kikifuatiwa na kiwanda cha kuchakata chupi za makada
Screenshot_2020-10-01-08-03-31-1.jpg
Screenshot_2020-09-17-22-19-17-1.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom