Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

Ili kuwatendea haki wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho...
Kwa kweli sio kwa nyomi lile yaani wamewanyima wana daslam haki yao!! Wangekaa 3 days Dar, Znz wasingeenda wangebaki hapa hapa Dar J4 wangeenda Dom.

Yaani watu wengi sana na vurugu pia zipo
 
Mkuu hata zikiongezwa siku bado wapo wataorudi na kurudi hapo...
 
Tatizo la Watanzania WA Kada Fulani huwa hawataki kuhadithiwa. Kuna wengine pia wanahisi zali linaweza kutokea. Ni kweli watu wamelala hapo.
 
Back
Top Bottom