Uwanja wa ndege Musoma kujengewa runway km 1.6

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ukweli ndio huo, kwa hiyo tuache kukariri maneno ya uongo kuwa eti Ccm wanapendelea Chato peke yake.

Leo mkandarasi Beijing MS Cons En Group amekabidhiwa site huko Musoma kazi ni miezi 20

IMG_20210416_140604.jpg
IMG_20210416_140551.jpg
 
Awamu iliyopita maamuzi yalifanywa na mwenyekiti wa chama badala ya chama.
Usichanganye changanye mambo.
 
Ukweli ndio huo, kwa hiyo tuache kukariri maneno ya uongo kuwa eti Ccm wanapendelea Chato peke yake.

Leo mkandarasi Beijing MS Cosns En Group amekabidhiwa site huko Musoma kazi ni miezi 20View attachment 1753562View attachment 1753563
CCM ndio nchi, na nchi ndio CCM. Kama ulimchagua Magufuli ktk uchaguzi mkuu (kabla ya kufa kwake) basi umemchagua Samia na kama Uliwachagua hao ndio umeichagua CCM, na kama uliichagua CCM basi umechagua nchi na maendeleo
 
Awamu iliyopita maamuzi yalifanywa na mwenyekiti wa chama badala ya chama.
Usichanganye changanye mambo.
Hata nami nimemwambia hivyo hivyo.
Ila nia yake ilikuwa ni kumsafisha jiwe
 
Back
Top Bottom