Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge, amewataka vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2020/2021 na kurejeshwa nyumbani mwezi Februari...
4 Reactions
69 Replies
13K Views
Kwanza kabisa kiustaarabu kwa nafasi ya katibu mkuu kiongozi uliyokuwa nayo haikupaswa kuondolewa mapema namna hiyo. Hata kama ulikuwa haufai kuwa na hiyo nafasi ilitakiwa mkuu wa kaya akuvumilie...
19 Reactions
132 Replies
13K Views
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema ni marufuku Shule kudai Certificate (Cheti) ya Awali kwa Wanafunzi wanaoanza Darasa la Kwanza Akiwa Bungeni Dodoma leo Mei 03, 2021 amesema "Bado...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi. Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji. Kuna group linaitwa Chadema in Blood kule Facebook yani kila...
8 Reactions
66 Replies
5K Views
Uteuzi wa wakuu wa Wilaya umeshafanyika,Rais ameteuwa kwa kiasi kikubwa makada watiifu wa chama Tawala,wengi wao wakiwa vijana na wenye elimu ya kutosha. Moja ya majukumu waliyopewa leo ni...
3 Reactions
74 Replies
18K Views
Tazama mahojiano kamili na Mwanasiasa LAZARO NYALANDU, akitolea ufafanuzi wa alichokiongea kwenye mkutano mkuu wa CCM na nia yake ya kuendelea kushiriki siasa za ndani ya Chama na Nchi kwa Ujumla
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar. Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa miaka 6 Jensiter na Ndumbaro wamekuwa wakishikilia portfolios muhimu sana za kuangalia maslahi ya wafanyakazi. Hata hivyo mpaka sasa hamna chcochote cha kujivunia wanachoweza ongea kuhusu...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Hakika mimi uwa nasema ukweli bila sisi kama nchi kuacha kuishi ya Uongo uongo hakuna maendelea ambayo tutakuja kupata. Mama Samia alionekana ni mtu atakaye kuja kufanya mageuzi makubwa lakini...
56 Reactions
242 Replies
21K Views
Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Kwa mambo yanavyoenda na siasa zetu zinavyoenda naona tunahitaji sana kuwa na wagombea binafsi kuanzia ngazi ya kitongoji hadi Rais. Vyama vya siasa vimekuwa ni njia ya watu kutafuta vyeo kwa...
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Uzushi huu hapa: Wapinzani wamechukua na kuviunganisha vibango vinne vya mtandaoni (infographics) vinavyotengenezwa na Ayo TV vyenye taarifa ya idadi ya ajira zitakazotolewa na Serikali kwa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
TAARIFA YA OFISI YA MBUNGE WA KIGAMBONI KWA MWEZI APRILI, 2021 Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) atakuwa na utaratibu wa kutoa taarifa za kila mwezi kwa lengo la kuhabarisha umma...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kura moja ya raia wa Lindi inabeba uzito kisiasa mara tano kuliko raia wa Dar es Salaam. Kwa nini? Angalia namba (nazitumia za 2016 na 2010, 2020 sijaona lakini kimsingi ni vile): Dar es Salaam...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mei 3 ni siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambapo serikali ya Tanzania imesema inawahakikishia kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari. Hata hivyo serikali imesisitiza jukumu la kuweka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Chadema walisisia matokeo ya uchaguzi mkuu mwaka 2020 wakaahidi kutoshiriki uchaguzi wowote siku zijazo. Ingekuwa busara waendelee na shughuli nyingine waachane na siasa kwani...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
"Jahazi hili, upepo uwe mwingi, upepo uwe mdogo, jahazi hili lazima likate mawimbi hili safari ifike." Mhe. Rais Samia. Dereva wa lori, Mungu amrehemu, nae alisema anatupeleka kwenye nchi ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
- Mpaka napoongea saaahv Tanzania has a gdp of ~($70B)+, nyuma kidogo ya kenya wenye gdp ya ($100B)+, wakati magufuli anaingia madarakani tanzania ilikua na gdp ya $(45.68B), Ukitoa kupanda na...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Mchakato wa kuanzishwa somo la historia ya Taifa letu umepingwa sana na wafuasi wa vyama vya upinzani hapa nchini. Inashangaza kwa Raia kutotaka kujua historia ya Taifa lake. Jambo la...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…