Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Dkt. Eliezer Fereshi ameagiza ngazi mbalimbali za mamlaka zinazohusika kufanya usuluhishi kuchukua hatua kwa watu au taasisi zinazopeleka kesi Mahakamani bila...
Unapolipa bili ya maji, kwa uelewa wangu risiti inatakiwa ioneshe taarifa muhimu kama akaunti ya bili yako ya maji, kiasi ulicholipa, kodi iliyokatwa ya serikali, control number kuonesha uhakika...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema mtangulizi wake katika wizara hiyo Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria wakati anafuta umiliki wa kitalu cha Lake Natron.
Dkt. Ndumbaro...
Kamati Kuu (KK) ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imefanya kikao leo tarehe 28/04/2021 katika ukumbi wa Kamati hiyo uliopo ndani ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma...
Luninga zote za ndani yaani local channels na baadhi ya tv maarufu duniani zitarusha mubashara tukio la mkutano mkuu wa CCM.
Kadhalika online tv na mitandao karibia yote ya kijamii itakuwa...
Wajumbe mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi Taifa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai mmeitikia "kazi iendelee".
Tarehe 30/04/2021 mnaandika historia mpya...
Kwa muda mrefu Chama cha Mapinduzi kimeendeleza utamaduni wake wa kuminya demokrasia ndani ya chama hicho kwa kuwanyima wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama Taifa na...
Nape Nnauye alikuwa mmoja kati ya panel iliyokuwa ikijadili mwelekeo wa serikali ya Rais Samia, akiwa pamoja na Dr. Marcus pale Azam Tv.
Nape alitakiwa kujibu shutuma ya Dr.Marcus kuwa yeye Nape...
Kazi imeshafanyika. Pamoja na uwepo wa wapingaji wa hapa na pale, hatimaye jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan limepitishwa na kuidhinishwa kwa kauli moja...
TUCTA kazi yao ni nini?
Baada ya TAMKO La Raisi, TUCTA walitakiwa kufuatilia na kutilia mkazo ili Wanyonge wapata FAO LA KUJITOA.
NSSF wako kimya na wanasumbua wanachama.
TUCTA mfuateni waziri...
Na Emmanuel J. Shilatu
Iyena! Iyena! Wajumbe mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi Taifa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai mmeitikia "kazi iendelee".
Tarehe...
Kama Binadamu (Mwanadamu) tulivyo Mimi na Wewe hatujakamilika kama walivyo Watakatifu na Malaika wa Mbinguni.
Tokea Kifo chake GENTAMYCINE nimekuwa nikiona Lawama nyingi Kwake (Hayati Rais Dkt...
Huu ni ufisadi na kama makamanda makini basi tuwe na kasumba ya kuhoji matumizi ya pesa za umma.
Sasa kama kuna nyumba ya mil 50 ilinunuliwa huko Serengeti mbona hatuhoji hata kidogo? Hata picha...
“Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na...
Kwa mfumo alioutengeneza Hayati John Pombe Magufuli ni wazi kuwa mpaka sasa wana CCM walio wengi wakiwemo waheshimiwa wabunge wanaliogopa kaburi la Magufuli.
Magufuli alikuwa aliyefanikiwa kuweka...
Natamani kujua ikiwa hii nchi ni yetu sote iweje kukawa na mambo ambayo yatabaki kua Siri za watu wachache tu? Je huu hauwezi kutumika kama mwanya wa kufichiana maovu?Na ikitokea mtu akatoa hizo...
Kupanga ni kuchagua na mara zote umakini unahitajika sana.
Chadema inakwenda kwenye uchaguzi mkuu utakaompata Mwenyekiti na makamu wake pamoja na kamati nzima ya utendaji.
Miongoni mwa wagombea...
Pamoja na CCM kuwa Madarakani zaidi ya Miaka 60 bado Chama hicho hakijiamini kwenye Suala la UCHAGUZI HURU na HAKI.CCM imekuwa inatumia Vyombo vya DOLA Kushinda UCHAGUZI kama tulivyojionea...
Ilikuwa hatari mida ya saa 10 ukanda wa Kunduchi, Ununio hadi Mbweni upepo mkali ulivuma na pale kwa kondo kuna kijumba kimeezuliwa bati zote.
Wakazi wa maeneo hayo walidhani kimbunga Jobo...
Salaam Wakuu,
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe ameshangazwa na Mradi wa Upanuzi wa Bandari ya Tanga.
Akiandika kwenye Mtandao wa Twitter amesema:
"Mwaka 2019 Mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.