• suala la wanafunzi washule ya msingi chunya kujihusisha na mapenzi wazazi wanachangia saula hili viongozi wamelifumbia macho hasa vijijin ambapo wazazi huanzisha virabu ndani ya nyumbazao hivyo wateja huja wakila aina ambao watabia mbaya na nzuri mambo mengi hufanyika sebuleni ambapo ni kama kilabun watoto wanatongozwa ndani humo humo na walevi hata kuwalubun na kufanya nao mapenzi ni vitendo vinvyo hatarisha maisha ya wanafunzi ,isitoshe wanaofanya hivyo ni watu wazima ambao huwezi kuamin kuwa wanafanya mapenzi na watoto wadogo mno yani hata hawaja vunja ungo ,miaka 5,6,8,9 na 12 kumina mbili ni la saba,richa ya wilaya ya chunya kuwa na idadi ndogo ya wasicha lakin tabia hii ina tia aibu mkoa wetu wa mbeya watu wanachimba madini pesa badala ya kufanya maendeleo imekuwa chambo yakuharibia masomo wanafunzi ,viongozi hawa taki kuwachukulia hatua watu hawa kwa sababu ya kununu liwa pombe,,,WANA JF NAOMBA TUSAIDIANE KUELIMISHA JAMII,mzazi niko kwa lawena nzonda mkoa wa mbeya.
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top