Waziri Ummy: Wakurugenzi mafisadi kuzomewa na wananchi.

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
928
1,000
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema inasikitisha kuona bado kuna Wakurugenzi na watumishi wa umma wakiendelea kufanya kazi kwa mazoea.

Ummy ametolea mfano wakurugenzi wa Kilindi, Uvinza na Same kuwa hawafai na angetamani aitishe mkutano wa haradhara kisha awaite mbele ili wazomewe na wananchi.

 

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
928
1,000
Waziri ni kama anashinikiza Rais awatimue kwa maneno ya jukwaani tu. Kama ana vielelezo na uthibitisho wa kuonesha hafai avipeleke kwa mteuaji na kwa kuwa jukumu la waziri ni kumshauri Rais basi na amshauri na sio kmshinikiza Rais
Acha kutetea mafisadi
 

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,292
2,000
Toa hiyo mimba uliyodungwa na jiwe

Ummy kama huwezi hiyo kazi hapo TAMISEMI rudi kwa mama, mwambie umesalimu amri na yeye ateue mwingine anayeiweza!! Badala ya kuwafukuza WAKURUGENZI wasiofaa unawarushia mpira wananchi eti wawazomee; halafu wakizomewa iweje? Halafu unaufumbia macho uozo wa kule Bahi!!
 

Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
2,409
2,000
Sir tunasubiri utekelezaji tunarudi awamu ya nne wananchi wanalia na watawala wanalia. Sad
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
57,362
2,000
Tuna mfumo wa sheria jamani.

Tuache kuongoza kwa kiki tufuate utawala wa sheria.

Kama watu wabadhirifu washitakini wafungwe na kuondolewa kazini.

Kuzomeq mtu buka due process hata kwa chuki binafsi ni rahisi sana.

Mfumo rasmi wa sheria na due process vina guards against abuse.
 

misasa

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
11,334
2,000
Kuzomea tu ndio wataacha ufisadi?

Waziri amekosa kufuata taratibu,kanuni na sheria za nchi tulizojiwekea kama si kumaliza au kupunguza ufisadi ?
 

Magazine Fire

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
1,123
2,000
Tuna mfumo wa sheria jamani.

Tuache kuongoza kwa kiki tufuate utawala wa sheria.

Kama watu wabadhirifu washitakini wafungwe na kuondolewa kazini.

Kuzomeq mtu buka due process hata kwa chuki binafsi ni rahisi sana.

Mfumo rasmi wa sheria na due process vina guards against abuse.
Tatizo anaongea sana yeye kilasiku anaongea ongea sisi wananchi tunataka afanye kazi kwa mujibu wa sheria asilete mambo ya mwendazake.
 

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
932
1,000
Nakumbuka moja ya Tangazo la DAWASCO wakati ikiitwa NUWA kilikuwa linasema
Asiyelipa bili azomewe
 

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
932
1,000
Tatizo anaongea sana yeye kilasiku anaongea ongea sisi wananchi tunataka afanye kazi kwa mujibu wa sheria asilete mambo ya mwendazake.
Shida ya Waziri Ni Kwamba anaongea Kila Siku Yeye, Apumzike Maana watumishi walioko Chini Yake Watamzoea, aige Mfano wa Waziri Wa Sindano, Aliingia Vibaya Kila Siku Akawa anaongea Yeye Tu Mwisho Wa Siku Imefika Pahala Hana Cha Kuongea Tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom