Hivi huu utaratibu wa miaka 4 ambao bila shaka ulianza awamu ya Magufuli (mwanzoni ilikuwa miaka 3), ni mtumishi kutakiwa kuwa amefanya kazi kwa miaka 4 mfululizo tangu apande cheo kwa mara ya...
Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania.
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu".
Akizungumza na Wafanyabiashara wa...
Kwa mujibu wa magazeti ya leo aliyekuwa mnikulu bwana Shabani Gurumo ametimuliwa rasmi ikulu huku balozi Ombeni Sefue akisema wanaiachia Tume ya utumishi kwa hatua zaidi.
Mnikulu Shabani...
Wasomi wataka wabunge wamalizane na kiporo cha SETHI
IPTL/PAP yawazuia wabunge kuliibua upya suala hilo.
Yadaiwa kutumia Mahakama kujikinga dhidi ya maamuzi ya Bunge
Yamtumia Rais Mstaafu...
Kigelegele kwa Kenyatta aruhusu watanzania kuanzia sasa ruksa kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na work permit wala Business visa.
Kasema mida hii mkutano wa wafanya biashara.
---...
Tunakumbushana tu kuwa Tanzania ina eneo kubwa kuzipita Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda tukiziweka pamoja
Tutumie fursa ya ukubwa wa eneo letu kulead uchumi wa Afrika ya mashariki, pamoja...
Tangu kuanza kwa mchakato wa kampeni za uchaguzi mkuu wa October mwaka huu, nimepata bahati ya kufuatilia kampeni za baadhi ya wagombea wetu wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Jana usiku nilikwazika kufuatia matokeo ya uchaguzi wa wawakilishi wa Tanzania kwenye Bunge la Afrika Mashariki ( EALA ). Kufuatia hasira hiyo nikaandika kuwa wakati mwengine unajiuliza Kama...
Hayati Magufuli aliwahi kujitabiria kwamba Watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa Manispaa ambako tangu Magufuli afariki naona imekuwa kawaida kila...
Rais wangu na mama yangu Samia, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyochukua ya kuanza kuboresha mahusiano ya kidiplomasia na Kenya kwa sababu yalianza kufa kimya kimya, yaani Tulikuwa na...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa madarasa na matundu ya vyoo kwa shule za...
Kwamba katika kipindi cha Hayati, Kenya waliumia sana kuona jinsi mwendazake alivyolirudusha Taifa la Tanzania nyuma katika nyanja zote? Wakatuonea sana huruma jinsi majirani zao tulivyokuwa...
Chama cha Wafanyabiashara Wanawake nchini (TWCC) kimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake tangu alipopata madaraka...
Wale wanaobeza wengine kwa kuwaita MATAGA wanafanya hivyo wakielewa hata maana ya neno MATAGA "Make Tanzania Great Again"?
Taifa lilikuwa linaielekea kubaya hadi 2015, na watu tulitaka mwelekeo...
Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam.
Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai...
IKULU,Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Na Hamisi Nasri, MASASI
WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara...
Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.