Rais Samia atangaza vita dhidi ya vijana.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,094
2,696
Tazama mawingu angani ujue mvua itanyesha. Tazama ishara Kama yanatokea mabadiliko ya sera.
Rais anasema anataka watu wote wafanye. Rais anasema vijana hawana sababu ya kuiba.
Ile hotuba ya Jana,Mimi ningekuwa kijana ningekuwa na wasi wasi.
Bado tu kusema kwamba atawafutia mashamba wakalime.
Watu wanapima kina Cha maji. Sikumuelewa Rais,nikaulizia,"anasema nini?" Nikaambiwa anassema vijana wameanza kuwa wezi.
""Aha. Anasema,vijana wanatingisha kibiriti?"
Nikaambiwa"Ndlyo,ndiyo"
Kwa hiyo elewa hapo mabadiliko ya sera.
Kama alivyosema Lenin,"Kwanza tutajidai tunataka kudumisha nidhamu serikalini, halafu tutawageukia wananchi,tutawaonjesha mateso ya Motoni."
Halafu please note,Rais anaongea maneno ya ukali Ijumaa kabla ya kwenda weekend. Labda tutaona pattern Rais anakuwa mkali kila inapokaribia weekend?
Tatizo ni Udikteta. Paka akiondoka panya wanatawala. Magufuli ameondoka ,tunasikia watu wengi tulikuwa hatuwasikii.
 
Lazima awe mkali...na Mimi nasema Ni sawa aingeze ukali zaidi

Kikubwa asiunize mtu wala.asizulumu mtu.....huruma pia iwepo
Hakuna ukali usioumiza. Ili kitu kiitwe kikali lazima kiumize km hakiumizi basi ujue hakuna ukali wowote.
 
Kwa maana hiyo basi 100% ya Watanzania ni wajinga
Sidhani..Mtu akifuata sheria + taratibu mambo huwa yanaenda....Ila wasiofuata hukemewa/kuguswa na hapo ndo huwa inatokea maana ya flani ni Mkali.

Chukulia mfano mraisi wa Mwalimu Mkali shuleni...wale wazembe wazembe + wakaidi humuona mwl X ni Mkali.

Ila wale wawajibikaji + nidhamu hata hao walimu wakali hawasogelei.

Sijui kama nimeeleweka lakini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom