Pasco wa JF aje Hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pasco wa JF aje Hapa!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by PakaJimmy, Apr 2, 2012.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Namtaka Pasco, aka Pasco wa JF aje hapa!

  My take:
  Unafiki na kuwaramba miguu watawala si dawa!
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 537
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Jamaa anasifa ya ujinga big tyme!
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wake ni zaidi ya unafiki PJ..
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tuntemeke and team! Hongera Vicent Nyerere na wana CDM wote
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pasco, yako wapi?
  Hii si aibu kwa umri wako mzee mwenzangu?
  Mtu kama wewe, kwa kazi yako hutakiwi kuwa mnafiki, maana unadeal na Media...umeishushia sana hadhi PPR
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wakuu nimefatilia post zake jana usiku alikuwa wa kwanza kusema chadema wanashinda na nilishindwa kumwelewa''pasco kama alivyo waberoya free pipo hawafungamani kokote naona ni sawa tu
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  PJ jana kuna uzi kaanzisha Pasco yaani amejichanganya kama mchawi aliyekamatwa anawanga!!!!!

  Pasco ni mtu hatari sana katika jamii ya JF hapaswi kuaminiwa na hana msimamo wa moja kwa moja.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Huyo ndiye Pasco Mayalla wa PPR
   
 10. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wewe sio pasco tu kuna mwingine anaitwa kifudusi kama mwanaume aje hapa jf leo. yaani jana katukana sasa ajee na yeye hapa mnisaidie
   
 11. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Kuna jingine linaitwa Ribosome
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Pasco anaudhi maana anaongea kwa uhakika sana vitu ambavyo havielewi, wala hana uhakika navyo!
  Naomba aje kuthibitisha au kufuta kauli yake kwamba Sioi alishinda tokea siku alipothibitishwa!...
  Pascoo, too boring you hypocrite!
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na tena heri ya mchawi kuliko mnafiki kama Pasco!.. Hajui asimamie wapi!..
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yako mengi sana!
  Yaje hapa tuyarambe...kudadadeki.
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  Mi namtaka swahiba wangu Rejao.
  Pasco we nenda naye RIP
  Rejao ntakuwa naye Picnic.

  Lengo: KUjadili Mustakabali wa Taifa letu ifikapo 2015.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hah ha haaaaaa
  Peopleeeeees.....Poweeeeer!
  SL umenifurahisha sana!
  TUWARAMBEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hehehe! Asprin ukimpata Rejao leo nidai elfu 1.
   
 18. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,957
  Likes Received: 20,288
  Trophy Points: 280
  Hapana, huyo siye, huyu ni Pasco wa JF angalia PJ kaandika nini?

  PJ, post ya Pasco jana ilikuwa ni namna ya kufuta kauli yake, aliandika, cdm wanashinda na hii ni baada ya kuondoa miwani ya rangi fedha EL, na kuvaa miwani halisi-Haki na Utu wake. Na kwa sasa jamaa ni :shut-mouth:
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  Nasikia ile mvua ya kutengeneza ya mkwe wa Sioi inamwaga kwa wingi Arusha hivi sasa.
  Naona mahesabu yamekataa, walitaka ipige usiku ili wachakachue...... Mungu akaipiga stop!

  Waliosahau kuwa Pesa haina ujanja mbele ya Mungu.
  Wao wameanza na Pesa, wengine wakaanza na Mungu!
  Sauti ya watu, Sauti ya Mungu.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,478
  Trophy Points: 280
  Atakuwa kajificha Chit Chat kule, ngoja nimfuate!

  Mpaka kieleweke leo.
   
Loading...