comte JF-Expert Member Dec 11, 2011 8,226 5,947 May 15, 2021 #1 Kheri ya EID. Nitafurahi kama tutasaidiana kutafuta ufumbuzi hasa wa nani ana mamlaka na dhamana ya mtuhumiwa awapo mbele ya mahakama. Natanguliza shukrani
Kheri ya EID. Nitafurahi kama tutasaidiana kutafuta ufumbuzi hasa wa nani ana mamlaka na dhamana ya mtuhumiwa awapo mbele ya mahakama. Natanguliza shukrani
mnengene JF-Expert Member Nov 21, 2011 4,133 6,343 May 15, 2021 #2 Hakimu / jaji , Polisi au askari magereza anakuwa kama watch man tu
comte JF-Expert Member Dec 11, 2011 8,226 5,947 May 15, 2021 Thread starter #3 mnengene said: Hakimu / jaji , Polisi au askari magereza anakuwa kama watch man tu Click to expand... Ahh kwa hiyo hakimu /jaji ndiye anavyima watuhumia dhamana?
mnengene said: Hakimu / jaji , Polisi au askari magereza anakuwa kama watch man tu Click to expand... Ahh kwa hiyo hakimu /jaji ndiye anavyima watuhumia dhamana?
mnengene JF-Expert Member Nov 21, 2011 4,133 6,343 May 15, 2021 #4 comte said: Ahh kwa hiyo hakimu /jaji ndiye anavyima watuhumia dhamana? Click to expand... Ndiyo
comte JF-Expert Member Dec 11, 2011 8,226 5,947 May 15, 2021 Thread starter #5 mnengene said: Ndiyo Click to expand... du