Jinsi Rais Samia alivyowapiga chenga ya mwili wapiga kelele wa mitandaoni kwenye teuzi

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,899
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....

Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!

Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama hivi vikubwa...Chadema na ACT Wazalendo..!!

Wakawa wanausubiria kwa hamu uteuzi huu wa Wakuu wa mikoa....na leo mama kalipua bomu...!!kamteua Mama Queen Sendiga kutoka chama kidogo sana cha ADC kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa

Ni habari mbaya sana kwa wapinzani wetu hawa wa mitandaoni..ambao jana tu walikua wakishangilia kutenguliwa kwa DC Sabaya

Kwanza Walianza kumshinikiza Mama avunje baraza mawaziri ili awateme mawaziri wote walioteuliwa na JPM.Mama hakuwasikiliza..!!

Wakahamia kwa Wakuu wa Mikoa...wakaanza kumshinikiza tena Mama awapige chini Wakuu wa mikoa wote walioteuliwa na JPM..wakidai walikua wakiendesha hiyo mikoa kwa mihemko na mashinikizo kutoka kwa JPM

Mama leo kawaonesha wapinzani wetu kuwa Yeye na JPM ni kitu kimoja...kaamua kufanya kazi na wakuu wa mikoa karibia wengi wa JPM.

Ali Happi na Chalamila ndio wakuu wa mikoa wakiosubiriwa kwa hamu na wapinzani watenguliwe...haijawa hivyo,Mama kawahamisha mikoa waendelee kuwatumikia wananchi...

Huyu ndiye Mama tunayemfahamu...anang'ata huku akipuliza..!!!
 
Katenda haki hakuna shida na ndo anavyotendaga haki shida kila kundi linataka waone watu wanowakubali ndo wakiteuliwa.

Wewe kisa ketenguliwa Sabaya umekuwa ukilia humu kutwa nzima.. Kwako uliona kaonewa ila amini wewe hapo na Mtu anaitwa Raisi ni tofauti.Yeye anayajuamengi hivyo hata ishu Sabaya kutenguliwa katenda haki.

Na huu uteuzi hutoona kelele sana mama kundi la ccm halijaguswa pabaya. Yaani ni kama ccm wa Magu kazi yao kusubiria pakulia (Yatima hadeki)
 
Hivyo vyama vyote ulivyotaja hapo juu havina sifa ya kuchaguliwa ktk serikali ya mama kwa sababu kuu mbili tofauti (1) chama kimoja mwenyekiti wake ni mlevi na juzikati alianguka baa akiwa bwii hajiwezi (2) na kingine inasemekana kiongozi wake ni mganga wa kienyeji japo ana elimu ya hapa na pale. sijui kuhusu kile cha mzee wa ubwabwa na vingine vidogo kwanini hawakupata chance serikalini.
 
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....

Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!

Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama hivi vikubwa...Chadema na ACT Wazalendo..!!

Wakawa wanausubiria kwa hamu uteuzi huu wa Wakuu wa mikoa....na leo mama kalipua bomu...!!kamteua Mama Queen Sendiga kutoka chama kidogo sana cha ADC kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa

Ni habari mbaya sana kwa wapinzani wetu hawa wa mitandaoni..ambao jana tu walikua wakishangilia kutenguliwa kwa DC Sabaya

Kwanza Walianza kumshinikiza Mama avunje baraza mawaziri ili awateme mawaziri wote walioteuliwa na JPM.Mama hakuwasikiliza..!!

Wakahamia kwa Wakuu wa Mikoa...wakaanza kumshinikiza tena Mama awapige chini Wakuu wa mikoa wote walioteuliwa na JPM..wakidai walikua wakiendesha hiyo mikoa kwa mihemko na mashinikizo kutoka kwa JPM

Mama leo kawaonesha wapinzani wetu kuwa Yeye na JPM ni kitu kimoja...kaamua kufanya kazi na wakuu wa mikoa karibia wengi wa JPM.

Ali Happi na Chalamila ndio wakuu wa mikoa wakiosubiriwa kwa hamu na wapinzani watenguliwe...haijawa hivyo,Mama kawahamisha mikoa waendelee kuwatumikia wananchi...

Huyu ndiye Mama tunayemfahamu...anang'ata huku akipuliza..!!!
Umesahau kuwa walishadidia mpuuzi Tundu Lissu ateuliwe kuwa DPP chali pia
 
Hivyo vyama vyote ulivyotaja havina sifa ya kuchaguliwa ktk serikali ya mama kwa sababu kuu mbili tofauti (1) chama kimoja mwenyekiti wake ni mlevi na juzikati alianguka baa akiwa bwii hajiwezi (2) na kingine inasemekana kiongozi wake ni mganga wa kienyeji, sijui kuhusu kile cha mzee wa ubwabwa na vingine vidogo kwanini hawakupata chance serikalini.
Zitto ni Mrundi na mwenzake brazaj
 
Zitto ni Mrundi na mwenzake brazaj

Dada Wangari Maathai lile jamaa kama nilivyokwambia limehamia huku tena 😂😂😂😂😂😂😂😂!

Nilishaliambia mie nimeoa nina mke, kuwa hata kwa mchepuko tu silihitaji. Kutwa kuchwa brazaj, brazaj. Ndiyo brazaj ni dume la mbegu, lakini sasa dada kalokola sikuhitaji!

Hivi kweli ni ngumu mno kuelewa hilo?

Basi dada habari ndiyo hiyo.
 
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....

Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!

Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama hivi vikubwa...Chadema na ACT Wazalendo..!!

Wakawa wanausubiria kwa hamu uteuzi huu wa Wakuu wa mikoa....na leo mama kalipua bomu...!!kamteua Mama Queen Sendiga kutoka chama kidogo sana cha ADC kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa

Ni habari mbaya sana kwa wapinzani wetu hawa wa mitandaoni..ambao jana tu walikua wakishangilia kutenguliwa kwa DC Sabaya

Kwanza Walianza kumshinikiza Mama avunje baraza mawaziri ili awateme mawaziri wote walioteuliwa na JPM.Mama hakuwasikiliza..!!

Wakahamia kwa Wakuu wa Mikoa...wakaanza kumshinikiza tena Mama awapige chini Wakuu wa mikoa wote walioteuliwa na JPM..wakidai walikua wakiendesha hiyo mikoa kwa mihemko na mashinikizo kutoka kwa JPM

Mama leo kawaonesha wapinzani wetu kuwa Yeye na JPM ni kitu kimoja...kaamua kufanya kazi na wakuu wa mikoa karibia wengi wa JPM.

Ali Happi na Chalamila ndio wakuu wa mikoa wakiosubiriwa kwa hamu na wapinzani watenguliwe...haijawa hivyo,Mama kawahamisha mikoa waendelee kuwatumikia wananchi...

Huyu ndiye Mama tunayemfahamu...anang'ata huku akipuliza..!!!
Kesho usimtukane mama yetu, akikung’ata Wewe Veronica!
 
Nafikiri kwa sasa ile mihemuko yako ya kutaka kutafuta mabadiliko nje ya chama tawala itakuwa imetulia kidogo. Kwa sababu huchelewi kuja na uzi mwingine tena hapa jukwaani na kuanza kumlalamikia tena.
 
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....

Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!

Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama hivi vikubwa...Chadema na ACT Wazalendo..!!

Wakawa wanausubiria kwa hamu uteuzi huu wa Wakuu wa mikoa....na leo mama kalipua bomu...!!kamteua Mama Queen Sendiga kutoka chama kidogo sana cha ADC kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa

Ni habari mbaya sana kwa wapinzani wetu hawa wa mitandaoni..ambao jana tu walikua wakishangilia kutenguliwa kwa DC Sabaya

Kwanza Walianza kumshinikiza Mama avunje baraza mawaziri ili awateme mawaziri wote walioteuliwa na JPM.Mama hakuwasikiliza..!!

Wakahamia kwa Wakuu wa Mikoa...wakaanza kumshinikiza tena Mama awapige chini Wakuu wa mikoa wote walioteuliwa na JPM..wakidai walikua wakiendesha hiyo mikoa kwa mihemko na mashinikizo kutoka kwa JPM

Mama leo kawaonesha wapinzani wetu kuwa Yeye na JPM ni kitu kimoja...kaamua kufanya kazi na wakuu wa mikoa karibia wengi wa JPM.

Ali Happi na Chalamila ndio wakuu wa mikoa wakiosubiriwa kwa hamu na wapinzani watenguliwe...haijawa hivyo,Mama kawahamisha mikoa waendelee kuwatumikia wananchi...

Huyu ndiye Mama tunayemfahamu...anang'ata huku akipuliza..!!!
Umesahau Wilaya zinakuja?

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA

Mama leo kawaonesha wapinzani wetu kuwa Yeye na JPM ni kitu kimoja...kaamua kufanya kazi na wakuu wa mikoa karibia wengi wa JP
Unahangaika sana ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
JINSI MAMA ALIVYOWAPIGA CHENGA YA MWILI WAPIGA KELELE WA MITANDAONI....

Baada ya Mama kutangaza kuwa angeteua hata wa upinzani kuitumikia serikali...vijana wa Chadema na ACT humu mitandaoni wakaanza kuota Ndoto za mchana..!!

Waliamini kuwa hao watakaoteuliwa toka upinzani basi watatoka vyama hivi vikubwa...Chadema na ACT Wazalendo..!!

Wakawa wanausubiria kwa hamu uteuzi huu wa Wakuu wa mikoa....na leo mama kalipua bomu...!!kamteua Mama Queen Sendiga kutoka chama kidogo sana cha ADC kuwa mkuu wa mkoa wa Iringa

Ni habari mbaya sana kwa wapinzani wetu hawa wa mitandaoni..ambao jana tu walikua wakishangilia kutenguliwa kwa DC Sabaya

Kwanza Walianza kumshinikiza Mama avunje baraza mawaziri ili awateme mawaziri wote walioteuliwa na JPM.Mama hakuwasikiliza..!!

Wakahamia kwa Wakuu wa Mikoa...wakaanza kumshinikiza tena Mama awapige chini Wakuu wa mikoa wote walioteuliwa na JPM..wakidai walikua wakiendesha hiyo mikoa kwa mihemko na mashinikizo kutoka kwa JPM

Mama leo kawaonesha wapinzani wetu kuwa Yeye na JPM ni kitu kimoja...kaamua kufanya kazi na wakuu wa mikoa karibia wengi wa JPM.

Ali Happi na Chalamila ndio wakuu wa mikoa wakiosubiriwa kwa hamu na wapinzani watenguliwe...haijawa hivyo,Mama kawahamisha mikoa waendelee kuwatumikia wananchi...

Huyu ndiye Mama tunayemfahamu...anang'ata huku akipuliza..!!!
La muhimu kwa sasa Watanzania wana tabasamu usoni kwasababu lile nyangumi meko halipo tena..limekwenda moja kwa moja..
MUNGU ASHUKURIWE SANA.
 
yule amekufa kishujaa

Kufa kwa Covid tena kizembe ni ushujaa? Hakuna jizi lolote la kura linakufa kishujaa.

Wenzako kila siku wanaanzisha uzi kuwa mama anafanya maamuzi kufuata maoni ya mitandaoni. Kila anapogusa waovu wenzake na Magu, kilio ni kuwa mama anamsaliti dhalimu.
 
Back
Top Bottom