Mkoa wa Mbeya unahitaji RC Mwenye uzoefu , hawa Makada wa ccm mnaowaleta kuja kujifunza kazi hawana uwezo wa kubadili chochote

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,271
2,000
Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa Chalamila , huyu alitolewa kwenye ukatibu wa ccm Iringa , huku akiwa hajui lolote kuhusu uongozi zaidi ya " zidumu fikra za mwenyekiti " naye akajiborongea weee hadi wananchi walipofunga na kuomba ili ang'olewe , ambapo maombi yamekubaliwa na sasa ametupwa Mwanza akapambane na ushirikina .

Pamoja na yote yaliyotokea lakini kuletwa kwa Juma Homela ambaye ni kada wa ccm wa kupitiliza na ambaye hana uzoefu wowote wa maana zaidi ya KUISHI KWA KUAMINI USHIRIKINA ni ishara nyingine kwamba ccm imeishiwa viongozi ama ina mkakati wa makusudi wa kudidimiza Mkoa wa Mbeya , huyu Homela baada ya kutolewa Mtwara kwenye UDC na kupelekwa Katavi kuwa RC , amefanya nini la maana hadi kumpromote na kumleta Mkoa wa Wasomi wa Mbeya ? huyu ataendeleza utamaduni ule ule uliozoeleka wa watangulizi wake wa kuugawa Mkoa kwa misingi ya Itikadi za kisiasa na atashindwa kama wenzake .

Mkoa wa Mbeya unahitaji RC anayeweza kutegua mitego ya ujinga wa siasa za vyama , huu Mkoa unahitaji kiongozi atakayewaunganisha wananchi baada ya dhuluma za miaka na miaka , unahitaji kiongozi atakayeondoa minyororo iliyofungwa kwa miaka mingi ya ubaguzi wa kisiasa , haihitaji vitisho vya aina yoyote , Mbeya haihitaji siasa za Hai za kukomesha wafanyabiashara fulani kwa vile hawaungi mkono ccm , siasa za namna hiyo kwa mkoa wa Mbeya haiwezekani hata chembe , mwisho wa siku kiongozi atakosa ushirikiano na kusababisha maendeleo kudumaa , Shortly ni kwamba Mbeya inahitaji RC atakayefanya kazi za serikali tu , akichanganya na mambo ya chama chake atafeli vibaya sana !

Ujumbe wangu kwa watu wa Mbeya ni huu hapa , ONGEZENI MAOMBI ili Mungu aingilie kati mstakhabali wa Mkoa wenu .
 
MTOCHORO

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
4,309

Pamoja na yote yaliyotokea lakini kuletwa kwa Juma Homela ambaye ni kada wa ccm wa kupitiliza na ambaye hana uzoefu wowote wa maana zaidi ya KUISHI KWA KUAMINI USHIRIKINA ni ishara nyingine kwamba ccm imeishiwa viongozi ama ina mkakati wa makusudi wa kudidimiza Mkoa wa Mbeya , huyu Homela baada ya kutolewa Mtwara kwenye UDC na kupelekwa Katavi kuwa RC , amefanya nini la kumpromote hadi kumleta Mkoa wa Wasomi Mbeya ?

Ujumbe wangu kwa watu wa Mbeya ni huu hapa , ONGEZENI MAOMBI ili Mungu aingilie kati mstakhabali wa Mkoa wenu .
Mbeya haina tofauti na Katavi, Homera anatosha kabisa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,148
2,000
Alieikika gusu "I can't breathe"
Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa Chalamila , huyu alitolewa kwenye ukatibu wa ccm Iringa , huku akiwa hajui lolote kuhusu uongozi zaidi ya " zidumu fikra za mwenyekiti " naye akajiborongea weee hadi wananchi walipofunga na kuomba ili ang'olewe , ambapo maombi yamekubaliwa na sasa ametupwa Mwanza akapambane na ushirikina .

Pamoja na yote yaliyotokea lakini kuletwa kwa Juma Homela ambaye ni kada wa ccm wa kupitiliza na ambaye hana uzoefu wowote wa maana zaidi ya KUISHI KWA KUAMINI USHIRIKINA ni ishara nyingine kwamba ccm imeishiwa viongozi ama ina mkakati wa makusudi wa kudidimiza Mkoa wa Mbeya , huyu Homela baada ya kutolewa Mtwara kwenye UDC na kupelekwa Katavi kuwa RC , amefanya nini la maana hadi kumpromote na kumleta Mkoa wa Wasomi wa Mbeya ? huyu ataendeleza utamaduni ule ule uliozoeleka wa watangulizi wake wa kuugawa Mkoa kwa misingi ya Itikadi za kisiasa na atashindwa kama wenzake .

Mkoa wa Mbeya unahitaji RC anayeweza kutegua mitego ya ujinga wa siasa za vyama , huu Mkoa unahitaji kiongozi atakayewaunganisha wananchi baada ya dhuluma za miaka na miaka , unahitaji kiongozi atakayeondoa minyororo iliyofungwa kwa miaka mingi ya ubaguzi wa kisiasa , haihitaji vitisho vya aina yoyote , Mbeya haihitaji siasa za Hai za kukomesha wafanyabiashara fulani kwa vile hawaungi mkono ccm , siasa za namna hiyo kwa mkoa wa Mbeya haiwezekani hata chembe , mwisho wa siku kiongozi atakosa ushirikiano na kusababisha maendeleo kudumaa , Shortly ni kwamba Mbeya inahitaji RC atakayefanya kazi za serikali tu , akichanganya na mambo ya chama chake atafeli vibaya sana !

Ujumbe wangu kwa watu wa Mbeya ni huu hapa , ONGEZENI MAOMBI ili Mungu aingilie kati mstakhabali wa Mkoa wenu .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom