DPP mpya Slyvester Mwakitalu ni muumini wa mamlaka ya DPP kunyima watu dhamana, atabadilika?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
495
1,000
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma

DPP.jpg
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,918
2,000

Rais SSH alikuwa chini ya jpm, aliposhika urais kafanana na jpm ki utawala?
 
Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
14,961
2,000
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana.
Mambo mengine ni ya mslahi ya Tanzania zaidi mkuu. Huko Marekani magaidi waliokubali kuwa recruited na kutumika kama double agents wa Al Qaeda walifutiwa mshikata na ofisi ya DPP wa Marekani na kuachiwa kwa kazi maalum kwenda nchi kama Jordan na Lebanon kupeleleza viongozi waandamizi wa makundi mengine ya kigaidi.

Ofisi kama hizo za DPP na ile ya AG (Attorney General) zinafanya kazi kwa ukaribu mkubwa sana na vyombo vingine vya usalama hivyo msiwalaumu wanapotimiza wajibu wao unaoweza kuwakera nyie ila ni kwa maslahi ya taifa.

Kwa nchi kama Marekani, kuna wakati kunyima watu dhamana (Coercion) ni muhimu ili mtuhumiwa aweze kutoa ushirikiano kwa dola.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,337
2,000
Wateuliwa wote wa Rais lazima wafanye kazi kwa kuangalia bosi wao ana msimamo wa aina gani, akiwa katili nao watakuwa hivyo hivyo, na akiwa mpole nao watakuwa alivyo.

Mfano nimeona Mwenyekiti wa NEC amewataka maafisa wake kufanya kazi kwa weledi na kusimamia sheria kwenye uchaguzi mdogo jimbo la Muhambwe, yule yule aliyeharibu uchaguzi mkuu enzi ya mwendazake.
 
Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,291
2,000
Wahalifu lazima muwe na hofu na mtaumia! Lakini muwe na amani kwani Banyambala ni watu wa msimamo na sio visasi kama wale “ngosha “! Atawatendea haki yenu.
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,635
2,000
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma
usiwe kichwa maji.... swala la kesi fulani kukosa dhamana ni la kisheria na liko kwenye vitabu na si hisani ya DPP.... kama mnataka kila kesi iwe na dhamana basi kabadilisheni sheria bungeni sio kulia na DPP......
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
87,051
2,000
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma
Ufanyaji kazi wake utategemea na wanaomtuma , hawa mara zote hutumikishwa tu , kama aliyemteua ni kivuruge basi na yeye atakuwa wa hovyo
 
Kimwakaleli

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,496
2,000
Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.

Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?

Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma

Nathani atatumia busara na hekima,huku akitambua kwamba cheo ni dhamana,leo unacho kesho huna.Tumpe muda.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,132
2,000
Mambo mengine ni ya mslahi ya Tanzania zaidi mkuu. Huko Marekani magaidi waliokubali kuwa recruited na kutumika kama double agents wa Al Qaeda walifutiwa mshikata na ofisi ya DPP wa Marekani na kuachiwa kwa kazi maalum kwenda nchi kama Jordan na Lebanon kupeleleza viongozi waandamizi wa makundi mengine ya kigaidi.

Ofisi kama hizo za DPP na AG zinafanya kazi kwa ukaribu mkubwa sana na vyombo vingine vya usalama hivyo msiwalaumu wanapotimiza wajibu wao unaoweza kuwakera nyie ila ni kwa maslahi ya taifa.

Kwa nchi kama Marekani, kuna wakati kunyima watu dhamana (Coercion) ni muhimu ili mtuhumiwa aweze kutoa ushirikiano kwa dola.
Kwa hiyo kubambikizia watu kesi ndio maslahi ya taifa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom