Eli24
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 165
- 361
Habari za Jumapili wanajamii
Naamini mko vzur na weekend ikiwa inaisha taaratibu ila kwa uhakika.
Leo nimepita pita kwenye mitandao ya kijamii nimeona baadhi ya wanawake wakiwa wanalalamika kwanini wameteuliwa wakuu wa mikoa wanawake 4 na wanaume 22.
Feminists wa kibongo wamekomaa kwel kwel kushinikiza Mama yetu angeongeza uteuzi ili kufikia au kukaribia usawa katika uongozi.
Swali nilimenijia kwanini feminist wanashadadia sana kuwe na uteuzi wa wanawake katika nafasi kubwa kubwa lakin kwenye nafasi ndogo ndogo wala hata hawashadadii.
Mfano pale TANESCO huwezi sikiaa feminist wakitakaa usawa wa vibarua ktka kubeba nguzo za umeme au huwezi sikia feminist wakiongea usawa katika kazi za ujenzi kama kubeba zege au kazi nyingine zile ngumu ngumu za kiume ila kwenye uongozi tu ndo utasikiaa kelele zao. Shida ni usawa au madaraka?
Hebu wabobezi wa mambo Mkujee kwa mawazo zaidi