Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,654
- 4,157
Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi!
Picha za video za kila kinachoendelea sehemu zote nyeti ziwe streamed muda wote zikiambatana na DATA za mapato na ufanisi wa ku'clear' mizigo ya wadau mbalimbali!
Hebu tazameni hii ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu na usome body language ya wahusika wakuu wanaohojiwa hapo. Hivi PM hadanganywi kweli hapo?