Uchaguzi 2020 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ashiriki zoezi la upigaji kura Buhigwe

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,123
2,000
1621233793281.png

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzini na Makamo wa Rais wa Tanzania leo Mei 26, 2021 amepiga kura kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe.

Dkt Mpango amepiga kura hiyo akiwa kijiji anachotoka cha Muyama kilichopo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma
 

Fahari

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,012
2,000
Hakuna namna ambayo ACT wanaweza kushinda hilo jimbo.Yaani jimbo la makamu wa Rais " liachwe" liende upinzani? BIG NO.Kule muhambwe chochote kinaweza kutokea.
 

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,844
2,000
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, akipiga Kura katika Kituo cha kupiga kura cha Ofisi ya Kijiji Kasumo 2 Jimbo la Buhigwe Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe MKoani Kigoma leo Mei 16, 2021.

Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Buhigwe unafanyika sambamba na Jimbo la Muhambwe lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma na Kata tano (5) za Tanzania Bara

1621151344584.png
 

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,844
2,000
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, akipiga Kura katika Kituo cha kupiga kura cha Ofisi ya Kijiji Kasumo 2 Jimbo la Buhigwe Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe MKoani Kigoma leo Mei 16, 2021.

Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Buhigwe unafanyika sambamba na Jimbo la Muhambwe lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma na Kata tano (5) za Tan View attachment 1786751 zania Bara.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom