Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,797
Kila zama na Kitabu chake , na kila linalo kutokea shukuru mungu.
Kwa haya yafuatayo tutakukumbuka kwa muda mrefu sana ujao.
1 ) Haki katika kuendesha, kusimamia, kugawa na usambazaji wa maji
2) Jitihada za kutengeneza jamii ya haki.
3) Kurudisha heshima na uwajibikaji wa watumishi wa uma Hai.
4) Kuondoa wizi wa kutumia silaha na Wilaya kutulia.
5) Ubabe usio na lazima katika kutafuta haki kwa wenye vijijini cent (huwezi ukawa na pesa ukaishi Hai ).
6) jamii kujua kumbe mabadiliko yanawezekana mradi tuu wengi muamue, wezi wote wa silaha wamepotea na kuhama, mbegu ya wizi wa silaha ilioachwa na kina Lema umeipoteza, tunafahamu kwa nini Lema alikuwa anakukasirikia muda wote. Waliopotea ni vijana wake na aliumia.
7) Watanzania wa Hai tunaanza kujua kumbe tuna tofauti sana na wasimamizi wako. Siku zijazo tutajua serikali inawapenda watu wake au Serikali inawapenda wahalifu na iko upande wa waovu wachache wenye kelele. .
8) Kwa sababu maisha huamuliwa vyema na wakati, kumbukumbu yetu kwa yale mema uliyo tutendea itadumu milele kwa waliokuwa wakidhulumiwa, kudharaulika na kuuwawa.
9) Umewaacha yatima jamii kubwa inayo ishi Wilaya ya Hai muda mrefu vizazi kwa vizazi bila kuwa na mashamba na makazi ya hakika. Kwa kuanza kuwasaidia labda kuna wasio wapenda maskini wasaidiwe.
10) Umeetuunganisha na wenzetu Waislamu katika mengi ambapo zamani wakionewa tunasema hao ni Waislamu. Umewarudishia ardhi yao ya kujenga shule na misikiti ambapo iliporwa kwa kuwa hatukutaka hiyo misikiti iwe karibu nasi. Na shule zisijengwe ili wasitutangulie na waendelee kubaki wapagazi wetu.
11) Tuna wasiwasi kama vitendo vya ukabila vya chini kwa chini vilivyopotea kama havitorudi kivingine kwa kasi.
12) KIJANA WETU SABAYA UMETUONYESHA KUMBE SERIKALI INAWEZA KUWA KARIBU NA WATU WAKE, WANANCHI WAKASIKILIZWA, WAKAHUDUMIWA, NA WAKAIPENDA NA KUIHESHIMU SERIKALI YAO.
13) WENYE MAMLAKA TUNAOMBA UITISHWE UCHAGUZI MPYA JIMBONI KWETU ILI TUWATUMIE SALAMU NA KELELE ZIISHE.