Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 18, 2021 amezindua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi, Bohari Kuu Kurasini Pia amekagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM. 1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO) 2. Soma...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama itakumbukwa kupitia walioitwa wabunge 19 wa CHADEMA baada ya kufukuzwa uanachama, kumetokea sintofahamu inayowachanganya watanzania kutokana kauli za viongozi hawa wawili Spika wa bunge na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekwa na mjadala kuhusu washereheshaji, wapishi na kadhalika kulipa kodi kama ambavyo imeelekezwa kwenye document ya Halmashauri ya Sengerema huko Mwanza. Nimeangalia kwa ukaribu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (muungano na mazingira), Seleman Jafo amewateua wajumbe saba wa kamati watakaotoa ushauri wa kitaalamu kuhusu uboreshaji wa elimu. Wajumbe hao ni Profesa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Edwin Swale amesema Bajeti wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeanza vibaya na haina matumaini kwa Watanzania wengi, Wabunge wote wanalalamika na Waziri naye amekata...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau, Awamu iliyopita wengi waliililia katiba mpya sababu utawala uliopita wa awamu ya tano kiukweli uliwabana sana mbavu kila kona mpaka wakajiona kama wao sio sehemu ya Jamhuri ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kilimanjaro na Manyara mkae tayari, the game is about to start, Mama waamshe wanao waambie Makamanda wameingia Mjini tayari kukiwasha, hii haifi ina tabia ya kusinyaa tu ikimwagiliwa kidogo...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
Mkuu wa Jeshi la polisi IGP Sirro leo amemvalisha cheo cha Kamishna wa Polisi CP Hamduni aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi kanda maalumu ya Dar es salaam. CP Hamduni kwa sasa ndiye Mkurugenzi mkuu wa...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Kuna mtu mmoja alikuwa anaugua kitu kinachoitwa "Virusi vya UKIMWI". Lakini walipoenda kumpima maabara, hawakukuta kitu chochote kinachoonekana kwamba hiki ni "Kirusi cha Ukimwi". Walichokikuta...
7 Reactions
64 Replies
4K Views
Ninajaribu kuwaza siku tuliyopata Uhuru Mwenge uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro na kuitwa Mwenge wa Uhuru. Naamini huo ndio uhusiano uliopo kati ya Mwenge na Uhuru toka imeingia Awamu ya Tano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati. Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wasalaama wanajamvi! Baada ya mabadiliko ya hivi karibuni yaliyofanywa na Rais Samia kuna baadhi ya mabadiliko bado najiuliza nini kimetokea au wapi wamekosea hadi wametolewa! Mimi Binafsi...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
UKATIBU MKUU BAWACHA NANI NI NANI? HAPO LEO TAREHE 18 / 05/2021 - MWANZA 1. ESTER DAFFI UIMARA 👉🏼Ni kijana aliyekulia kwenye Chama toka Bavicha ya John Heche akiwa Naibu Katibu Mkuu Bavicha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
John John Mnyika alishaweka angalizo mapema sana kuhusu chanjo ya COVID-19, sasa angalieni kilichosemwa leo .
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Na Thadei Ole Mushi. 1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia 💯. 2. Viongozi waliopo kwenye...
27 Reactions
83 Replies
8K Views
Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu...
27 Reactions
52 Replies
4K Views
Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa...
24 Reactions
84 Replies
8K Views
Wakuu amani iwe juu yenu, Hili naomba niliseme wazi na Sabaya mwenyewe najua yupo humu asome na asikie ujumbe impate. Kama hataki aache lakini matokeo atayapata muda sio mrefu. Hii ni tahadhari...
61 Reactions
100 Replies
16K Views
Wakati Magufuli anaingia madarakani alikuta Kikwete ametengeneza makubaliano na Wachina ya Kujenga SGR yote Dar hadi hadi Kigoma, na pia kutoka Uvinza kwenda mgodi wa Musongati wa Burundi na...
30 Reactions
204 Replies
26K Views
Back
Top Bottom