Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SACP CAMILIUS WAMBURA KAMANDA KANDA MAALUM DSM === INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya viongozi ndani ya Jeshi la Polisi ambapo amemhamishia...
16 Reactions
113 Replies
25K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme. Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji...
9 Reactions
126 Replies
10K Views
Mamlaka na madaraka ya serikali yatatoka kwa wananchi, na msingi mkuu wa serikali ni ustawi kwa wananchi. Hii ni kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, ambayo ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Nina maana kubwa sana kusema hayo kwani kawa awamu hii ya tano wanachi wamepima uongozi uliopo madarakani kupitia mambo haya •Uchumi kwa mtu mmoja mmoja na Taifa zima •Hali ya usalama nchi...
0 Reactions
35 Replies
14K Views
Vijana hawa wananyanyasika sana na polisi pamoja na mkuu wa wilaya. Kila siku lazima wakamatwe au kupigwa mabomu ya machozi bila sababu za msingi. RPC aliapa kuwanyoosha/kulipa kisasi kwa sababu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Anaandika Mdau kutoka Mwanza HUJUMA ZA KUTISHA UCHAGUZI MKUU WA BAWACHA - MWANZA Leo 18 May 2021 ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Bawacha Taifa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na akina Halima Mdee na...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Tanzania's coronavirus response is getting serious, two months after the death of the country's Covid-denying president. Before he died in mid-March, former leader John Magafuli repeatedly...
9 Reactions
91 Replies
8K Views
Habari za jioni Wakuu. Kipyenga cha kuashiria mapambano dhidi ya Corona kimeshapigwa jana na ni suala la muda tu kabla ya hatua stahiki kuanza kuchukuliwa. Wenzetu walishaanza mapambano haya...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa. Mwaka jana bila...
59 Reactions
312 Replies
27K Views
Inawezekana wakati mama anaenda kufungulia nchi anaweza kufungulia hizi hisia za kutukuza na kukumbushana juu ya kile kinachoitwa umaskini wetu? Tunatakiwa kutokujaribu au kuthubutu kufanya...
42 Reactions
195 Replies
13K Views
Na Mwandishi Wetu Kutoka Chato. Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuyaenzi mema yote yaliyoanzishwa, kusimamiwa na kutekelezwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
7 Reactions
63 Replies
8K Views
Binafsi hivi majuzi tu tena nikiwa Sokoni nimekutana na Wamachinga na Wanyonge ( Masikini ) wakiwa wanasema hauna Upendo Kwao kama aliokuwa nao Mwendazake. Nilijitahidi kukutetea kwa Nguvu zote...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Ushahidi wa tuhuma hizi huu hapa Hii ndio risiti unayopewa baada ya kulipia vipimo vya COVID 19 kwenye uwanja wa kimataifa . Mungu ibariki Tanzania .
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Amechaguliwa leo kwenye Mkutano Maalum ulioitishwa Mwanza ili kuziba pengo la wale Corona 19 waliovuliwa uanachama. ===== Sharifa akabidhiwa mikoba ya Mdee Bawacha Chama cha Chadema...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Ikumbukwe kuwa Rostam Aziz alijiuzulu Ubunge wa Jimbo la Igunga kwa madai kuwa amechoshwa na siasa uchwara. Je, sasa ataukubali wito wa mwenyekiti wa chama chake CCM Rais Magufuli kwamba kama...
3 Reactions
69 Replies
8K Views
Kuna mambo inabidi uyatazame kwa jicho la tatu, na unapata tafsiri tofauti kabisa. Uteuzi wa Bashiru kuwa mbunge umabadilisha kwa Bashiru mamlaka ya mhimili atakaoapa na kuwajibika nao. Kutoka...
34 Reactions
174 Replies
19K Views
Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na Kuagiza, kusafirisha, kutunza, kusambaza na kuhamasisha jamii...
11 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwaka 2015 niliandika maoni yangu hapa JamiiForums kumshauri Hayati JPM mara baada ya kuapishwa kushika nafasi ya Urais wa Tanzania. Pamoja na kelele zinazopigwa hapa na pale lakini haiondoi...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wadau! Kiukweli serikali imekuwa ikiwapa sana kipaumbele walimu katika kuajiri pasipo kuangalia upungufu kwenye kada nyingine ambazo nazo zina umuhimu. Serikali ijitahidi kuajiri na kada...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu. Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Back
Top Bottom