Washauri wa Rais, naombeni mshaurini Rais anyamaze mpaka janga la COVID19 lipite

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya hebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.

Atulie tu kwani anakosa nini kule Chato anyamaze janga la Corona litapita then tutarejea kwenye maisha ya kawaida kunyamaza kimya ni bora kuliko kuongea mambo yanayoacha maswali mengi zaidi ya majibu.

Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafuatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Wakimshauri kinyume na anavyowaza, wanafukuzwa, hata ikiwa mimi nitamshauri/nitampa neno analotaka kulisikia
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.
Nani anadiriki kumshauri huyo mtu anayejua kila kitu??
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya ebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.
ila leo kwa kweli kaongea utumbo kuliko siku nyingine zote.
hata MATAGA wenye akili japo kidogo watakuwa wameona aibu wao!
 
IMG_20200502_083749.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Ubishi alio nao wala hawezi kuwasikiliza hao washauri Mkuu
 
Tumejitahidi sana ndugu Technically jf expert member.
Ila Rais wetu mpendwa hashauriki. Na sisi tunatetea ugali wetu, njia ya msalani isiote nyasi. Unataka tufukuzwe kazi tukionekana tuko kinyume nae?
 
Rais kauli zake zina nguvu sana ndio maana unaona zinafatiliwa sio tu Tanzania zaidi nje ya nchi clip zake zinazunguka zikiwa zimefanyiwa tafsiri ya lugha mbali mbali.
Akikaa kimya mnasema kawa bubu,akiongea mnachukia
Chadema mnapata tabu sana awamu hii
 
Kwani imekuaje jamani? Angalau aya tano tu ya kilichotokea
 
Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndi wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so pls Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo anaongea yanamshushia heshima kweli.

Najua Rais ni taasisi kama mnamshauri anakataa bora mjiuzulu hamna kazi mnayofanya ebu angalieni effect za speech zake kwenye vyombo vya habari ya kimataifa kama BBC, VOA etc. na madhara ya speech zake kule WHO.
Acha ujinga wewe, tangu lini BBC, VOA n.k wakaipenda Afrika?

Siku zote hivyo vyombo vya habari vya wazungu asilimia kubwa vinatangaza mambo mabaya yanayohusu Afrika,

Je unaweza kueleza mambo mabaya aliyoelezea leo Raisi hadi useme eti Rais asiongee hadi CORONA ipite "pumbavu kabisa wewe "

Watu msiwe kama Bendera fuata upepo kwa kufikiri kila jambo linalofuata na wazungu ni zuri.
Wazungu hao ndio wameanzisha ushoga, usagaji, ndoa za jinsia moja na uchafu mwingine mwingi kwenye jamii.
Leo wewe mjinga unataka Rais aongee vitu vya kupendeza wazungu, unasikitisha sana.

Watanzania mnatakiwa kujua kwanza ajenda kwanza zilizopo kwenye huu ugonjwa ndio muhoji kama Rais anaongea ukweli au uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tuwe waelewa alikuwa anatania tu hakuwa siriaz kwa sababu ingekuwa yuko siriaz asingejikarantini. Muwe waelewa na mjikarantini kwa wale wanaoweza, wasioweza tuchape kazi mwanzo mwisho likitukumba ni ajali kazini, am I right?
 
Acha ujinga wewe, tangu lini BBC, VOA n.k wakaipenda Afrika?

Siku zote hivyo vyombo vya habari vya wazungu asilimia kubwa vinatangaza mambo mabaya yanayohusu Afrika,

Je unaweza kueleza mambo mabaya aliyoelezea leo Raisi hadi useme eti Rais asiongee hadi CORONA ipite "pumbavu kabisa wewe "

Watu msiwe kama Bendera fuata upepo kwa kufikiri kila jambo linalofuata na wazungu ni zuri.
Wazungu hao ndio wameanzisha ushoga, usagaji, ndoa za jinsia moja na uchafu mwingine mwingi kwenye jamii.
Leo wewe mjinga unataka Rais aongee vitu vya kupendeza wazungu, unasikitisha sana.

Watanzania mnatakiwa kujua kwanza ajenda kwanza zilizopo kwenye huu ugonjwa ndio muhoji kama Rais anaongea ukweli au uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukiongea bila matusi unahisi hutasikilizwa? Malezi mabaya ya wazazi wako hayo!

Kuna kitu umemisi nahisi, ingekuwa mtafiti huru opinion zatu huwa hazimkeli mwenye akili zake ila mwehu!
 
Back
Top Bottom