Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,448
Hichi kitu kinachoitwa "Virusi vya Ukimwi" kina maajabu yenye kusisimua sana.
Kwanza, hakuna mtu yeyote aliyewahi kukiona Kirusi cha Ukimwi. Sio mwanasayansi wala maamuma.
Pili, kuna watu wanaoitwa waathirika wa virusi vya UKIMWI ambao hakuna hata mmoja wapo aliyeonekana kwamba mwilini mwake kuna virusi vya UKIMWI.
Kinachoonekana mwilini mwao ni "reactions" za chembechembe hai nyeupe za damu. Hizo ndizo hawa wanasayansi uchwara wanazoziita "virusi vya ukimwi".
Kuna watu wengi sana wanaotoa shuhuda kwamba wamelala na watu wanaoitwa "waathirika wa UKIMWI" (VVU) lakini kamwe hawakupata huo unaoitwa UKIMWI.
Wengine ni wanandoa, mmoja ana VVU mwingine hana. Na wanazaa watoto wasio na VVU.
Zikaja dhana mbalimbali za kitapeli kama "discordant couples" and blah blah's.
Kila aliyethubutu kupinga hichi kirusi bandia alishughulikiwa ama kwa kuuwawa au kuharibiwa kisiasa! — mfano mzuri ni Thabo Mbeki.
Hata ukiingia mtandaoni kama google na youtube, kamwe huwezi kukuta machapisho ya kukipinga hichi kirusi. Machapisho yote yameondolewa. Kwanini?
Ubaya ni kuwa, madawa haya yanayoitwa ARV yana madhara makubwa sana ikiwemo moyo kuharibika, figo kufeli, kansa, matatizo ya ngozi, kisukari, mwili kubadilika umbo, kucha kubadilika rangi, kupooza viungo, kuwaka moto miguuni na vifo vya ghafla.
Lakini kamwe, huwezi kusikia madhara haya yakitamkwa hadharani na hawa wanaoitwa "serikali" na "madaktari".
Kuna ajenda gani juu ya huu ugonjwa wenye utata hata wa chanzo chake?
Kama wazungu wameweza kuihadaa dunia nzima kuhusu virusi vya corona, ni nini ambacho kitatufanya tusiamini kuwa walitulaghai kwenye hiki kinachoitwa "kirusi cha Ukimwi"?
Kuna ajenda gani juu ya haya madawa ya ARV yanayotolewa bure? Serikali inapata mgao kiasi gani?
Je, serikali imefanya "conspiracy" na wazungu kama ambavyo wanaendelea kufanya "conspiracy" kwenye corona?
Kwa hakika, naamini serikali inatambua ukweli kuhusu UKIMWI na VVU.
Lakini kwanini? WHY?