Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,644
- 218,096
Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda.
Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali yanayofanywa na Mh Rais , na bila shaka ni mabadiliko yenye tija kwa asilimia kadhaa , japo bado kuna virusi vimesalia ila tunaamini vitaendelea kuteketezwa taratibu.
Swali langu kwako Mkuu ni hili hapa , Lini utafanya mabadiliko ya Makamanda Wakuu wa Mikoa ya Kipolisi (RPCS ) Ili kuongeza ufanisi wa Jeshi lako ?