Waziri wa Afya na Naibu wake wataweza kuratibu upatikanaji wa chanjo waliyokuwa wanaipinga?

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na Kuagiza, kusafirisha, kutunza, kusambaza na kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo.

Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka.

Kuhamasisha watu kuvaa barakoa wakati wao hawazivai au walizipuuza.

Kuondoa imani kwa wananchi ya kujifukiza ili wapate chanjo.

Kurudisha imani kwa wananchi kuwa chanjo hazina madhara tena kwa sababu Tanzania haina chanjo yake chanjo zote ni za mabeberu.

A54E6912-68D9-4F5F-97B7-A927922F507B.jpeg
 
Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania.

Wakitangaza lockdown watajilock wenyewe.

# hongera biswalo mganga kwa kuapishwa kuwa jaji ili sasa Lema akome kabisa.
 
Hadi muda huu, Waziri wa Afya na naibu wake walipaswa kuwa wamejiuzuru.
Walimpotosha Magufuli na kuwapotosha watanzania kwa kupuuzia sayansi ya kupambana na Corona.

Corona imeua viongozi wetu na wananchi wetu kwa sababu ya maamuzi ya hao viumbe.
Unafikiri Marekani na Ulaya pamoja na Asia walikopukutika zaidi,hawakuwa na washauri?

Au wewe utaishi milele na ndugu zako kwa vile nyie ni wataamu wa mambo?

Au wewe utampangia Mungu fulani afe lini na kwa ugonjwa upi?

Mungu na akuhukumu wewe unayedhihaki mwanadamu mwingine,kana kwamba una mamlaka ya kifo.

na sasa utajua kama uhai wako uko mikononi mwa Mungu au ujuaji wako.
 
Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania...
... uko sahihi! Korona ni janga ila kupitia janga hilo Mungu ameinusuru sana nchi hii maana ilikuwa inaelekea kwenye majanga mabaya zaidi! Kwa kuwa yale majanga zaidi tumenusurika, tahadhari zichukuliwe ipasavyo.
 
Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi.

View attachment 1788659
Wanasiasa ni watu wa ajabu sana

Kinachowaongoza kwa sasa ni kitu kinaitwa (NEW WORLD ORDER-UTARATIBU MPYA WA ULIMWENGU KIUTAWALA) hata tume ya korona wamekitaja ijapokuwa kwa kutumia tafsida ya 'serikali izingatia maazimio ya kimataifa na kuyatekeleza'.

Reference: New World Order (conspiracy theory) - Wikipedia

Kipindi cha vita baridi kati ya mataifa ya kibepari na mataifa ya kikomunisti kama Urusi ambapo ilipelekea kusambaratika taifa na ujerumani kugawanyika ilitegemewa UTARATIBU MPYA WA ULIMWENGU KIUTAWALA kuanza kutumika lakini ilishindikana kwa kuwa isingekuwa endelevu.

Ugonjwa wa korona walitarajia pia kuhakikisha utaratibu unaanza kutumika dunia nzima lakini umekumbana na vikwazo kwa kuwa chanjo wanayotoa na vipimo wanavyotumia kupimia uathirika wa UVIKO haviaminiki kutokana na matokeo yake.

Hata hivyo watakaokuja kufanikisha matumizi ya 'New World Order' ni watu wawili kutokea mataifa mawili (ULAYA na ISRAEL)

Sababu
1. Vijana wasomi kupindukia lakini hawajikwezi kwa ubobezi wa elimu walinayo
2. Matajiri wasiotajwa popote kwenye rekodi duaniani lakini wana hazina ilipindukia wakiwa wamewekeza WB, WTO, IMF, UN, WHO na NATO
3. Busara katika matendo yao na Hekima katika matashi yao
4. Usuluhishi wa migogoro, ujenzi wa amani na ushawishi kaitika kukubaliana kila wasichokubaliana
5. Watalaamu wa 'CyberSpace' & Artificial Intelligence
6. Watabadilika baadaye na kujigeuza miungu watu kwa kufanikisha kuwa tegemeo la kila kitu kutoka serikali za dunia hii na watu wake kisha kufuru zitachukua nafasi yake
 
Waziri waAfya ajiuzulu kuokoa heshima yake.

Ama sivyo wataalam wameshampiga chini na anaonekana kanjanja.
 
Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na....

Kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo.

Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka.

Kuhamasisha watu kuvaa barakoa wakaki wao hawazivai au walizipuuza.

Kuondoa imani kwa wananchi ya kujifukiza ili wapate chanjo.

Kurudisha imani kwa wananchi kuwa chanjo hazina madhara tena.

View attachment 1788659
Wote WAONDOLEWE yaani Waziri wa Afya na Naibu wake kwa sababu hawawezi kuhamasisha na kusimamia chanjo waliyokuwa "WANAIKEJELI"

WOTE "OUT"
 
Kama mtu umelazimishwa kufanya kitu ulichokuwa hukiamini ni vigumu sana kukitekeleza kwa ufanisi. Kuratibu ni pamoja na....

Kuhamasisha jamii waliyoiaminisha chanjo hazifai ili ipate chanjo.

Kuhamasisha jamii kunawa mikono tiririka.

Kuhamasisha watu kuvaa barakoa wakaki wao hawazivai au walizipuuza.

Kuondoa imani kwa wananchi ya kujifukiza ili wapate chanjo.

Kurudisha imani kwa wananchi kuwa chanjo hazina madhara tena.

View attachment 1788659
Ilitakiwa hawa wawili wawekwe pembeni kwanza ili zoezi hili liende vizuri.

Walishindwa kumshauli the late President JPM
 
Wanasiasa ni watu wa ajabu sana

Kinachowaongoza kwa sasa ni kitu kinaitwa (NEW WORLD ORDER-UTARATIBU MPYA WA ULIMWENGU KIUTAWALA) hata tume ya korona wamekitaja ijapokuwa kwa kutumia tafsida ya 'serikali izingatia maazimio ya kimataifa na kuyatekeleza'.

Reference: New World Order (conspiracy theory) - Wikipedia

Kipindi cha vita baridi kati ya mataifa ya kibepari na mataifa ya kikomunisti kama Urusi ambapo ilipelekea kusambaratika taifa na ujerumani kugawanyika ilitegemewa UTARATIBU MPYA WA ULIMWENGU KIUTAWALA kuanza kutumika lakini ilishindikana kwa kuwa isingekuwa endelevu.

Ugonjwa wa korona walitarajia pia kuhakikisha utaratibu unaanza kutumika dunia nzima lakini umekumbana na vikwazo kwa kuwa chanjo wanayotoa na vipimo wanavyotumia kupimia uathirika wa UVIKO haviaminiki kutokana na matokeo yake.

Hata hivyo watakaokuja kufanikisha matumizi ya 'New World Order' ni watu wawili kutokea mataifa mawili (ULAYA na ISRAEL)

Sababu
1. Vijana wasomi kupindukia lakini hawajikwezi kwa ubobezi wa elimu walinayo
2. Matajiri wasiotajwa popote kwenye rekodi duaniani lakini wana hazina ilipindukia wakiwa wamewekeza WB, WTO, IMF, UN, WHO na NATO
3. Busara katika matendo yao na Hekima katika matashi yao
4. Usuluhishi wa migogoro, ujenzi wa amani na ushawishi kaitika kukubaliana kila wasichokubaliana
5. Watalaamu wa 'CyberSpace' & Artificial Intelligence
6. Watabadilika baadaye na kujigeuza miungu watu kwa kufanikisha kuwa tegemeo la kila kitu kutoka serikali za dunia hii na watu wake kisha kufuru zitachukua nafasi yake
Ili kuprove conspiracies zako hizi, mama ameliendea suala la Corona kitaalamu ili kuondoa akili za namna hii za kuamini myth
 
Unafikiri Marekani na Ulaya pamoja na Asia walikopukutika zaidi,hawakuwa na washauri?
Au wewe utaishi milele na ndugu zako kwa vile nyie ni wataamu wa mambo?
Au wewe utampangia Mungu fulani afe lini na kwa ugonjwa upi?
Mungu na akuhukumu wewe unayedhihaki mwanadamu mwingine,kana kwamba una mamlaka ya kifo.
na sasa utajua kama uhai wako uko mikononi mwa Mungu au ujuaji wako.
Sioni kosa lake hadi umuombee kifo, yeye kasema walimshauri rais vibaya.
 
Unafikiri Marekani na Ulaya pamoja na Asia walikopukutika zaidi,hawakuwa na washauri?
Au wewe utaishi milele na ndugu zako kwa vile nyie ni wataamu wa mambo?
Mwendazake kafa kwa korona kwasabb ya upumbavu wake. Alikuwa akipinga chanjo anaendekeza kujifukiza matokeo yake korona ikamuua. Ndiyo maana wahenga wakasema ujinga ni mzigo
 
Wale ni kuwapumzisha tu kuwaepusha na madhara ya kisaikolojia watakayopata kwa mwelekeo wa sasa wa mambo kurudi kwenye science.
 
Mwendazake kafa kwa korona kwasabb ya upumbavu wake. Alikuwa akipinga chanjo anaendekeza kujifukiza matokeo yake korona ikamuua. Ndiyo maana wahenga wakasema ujinga ni mzigo
Kama kafa kwa UVIKO kwanini tangu kifo hicho kwanini hamtoi taarifa za nani alifuatia kufa, nani kati ya waliomhudumia ameugua au kufa kwa UVIKO?
 
Back
Top Bottom