Nafikiri tatizo kubwa la nchi yetu ni kukosa ubunifu na kutokuwa na mifumo imara na hivyo kupelekea kila kiongozi mkuu ajaye kuanza upya.
Awamu iliyopita ilikuwa na viongozi ambao kama Tanzania...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji, Manispaa, Miji na Halmashauri ni nguzo muhimu sana katika kubuni, kusimamia na kutekeleza majukumu yote ya eneo analosimamia. Mkurugenzi Mtendaji awe ni mtu aliyebobea...
Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona.
Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu.
Hakuna mtanzania ambaye hajawahi...
Mahakama imeifuta kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, Ole Sabaya. Alikuwa anatuhumiwa kujifanya Afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa, TISS.
Kesi hiyo imefutwa baada ya Jamhuri kusema...
Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini.
Mnyika amesema...
Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa.
Na...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) katika kazi yake anatakiwa kuwa na nia ya kutenda Haki akimtaja chujio la kwanza katika masuala ya Haki.
Pia amesema...
Kanali Patrick Karegeya alikuwa mkuu wa wa shirika la ujasusi la Rwanda (NISS) na Apollo Gafaranga alikuwa mmoja wa Informer wake. Karegeya alijaribu kumpindua Kagame ktk jaribio lililoshindwa...
Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote...
Nianze kwa kukumbuka mwaka 1971 nikiwa Kijana. Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ilikusanya maoni ya wananchi nchi nzima kuhusu MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI KUHAMISHIWA DODOMA. Sina uhakika...
Habar wadau wa JamiForums,
Kama kawaida yangu Mtanzania mzalendo nisie pindisha ukweli
Kwanza hii ningependa imfikie Rais Samia kua Now days namna ya kuongoza Tanzania imesha Badilika na...
Habari wanaJF,
Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi
Kipimo cha Rais huanza...
Wakuu mambo yanayotokea katika nchi hii kwa sasa hayawezi kupita bila kujadiliwa .
Hakuna kiongozi yeyote wa maana aliyetembelea nchi yetu tangu awamu ya 5 ianze , kisa ni nini ? Kwanini wageni...
CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa...
Wadau siku Rais wa nchi Mama Samia Suluhu Hassan Akiapisha mawaziri aliagiza ukaguzi wa BOT kuanzia mwezi January hadi Machi , ambapo ripoti hiyo ilikuwa isomwe tarehe 20/04/2021 lakini...
Nchi yetu imekua na tabia ya kuingia kwa pupa kwenye mifumo ya kidigitali kama mkongo wa taifa, vinga'amuzi, luku, electronic ticket za mwendokasi, malipo ya Serikali na kadhalika bila...
Mimi kila siku nasema posho za wabunge hazitoshi
Mbunge wa Bahi (CCM) anashikiliwa na polisi na atafikishwa kizimbani J3 kwa tuhuma za kuomba rushwa ya 7 mil. Mbunge huyu yupo kwenye kamati ya...
Habari wadau.
Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri...
Sikujui hunijui Ila nakufahamu kama mwanasiasa makini sana na ukiwa kwenye ubora wako Taifa litanufaika.
Sasa nisikilize.
Kuna dalili zote bado haujapona na majeraha ya kupoteza ubunge wako na...
DHANA YA UHURU NA UCHUMI WA KUJITEGEMEA KWA AFRIKA
Na Elius Ndabila
0768239284
Tunapozungumzia uhuru kama dhana ya kifalsafa mara nyingi huwa tunafikiria uwezo wa mtu binafsi wa kufanya uamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.