Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form...
Nimemsikiliza huyu mbunge kijana Ng'wasi Damas Kamani na nikatambua ni kichwa. Ameelezea vizuri na kwa ufasaha maswahibu ya wakandarasi wazalendo kwa usafaha tena kwa kina. Bunge inatakiwa kuwa na...
Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako.
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea...
Wana JF,
Habari nilizozipata kutoka Arusha ni kwamba, Jeshi la Polisi Mkoani humo limemkamata Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa ndugu Lengai Ole Sabaya kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbali mbali za...
Alikamatwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 na kupewa kesi ya uongo ya kutakatisha pesa na Uhujumu uchumi kwa amri ya CCM na DPP Biswalo Mganga, ambaye jana ameapishwa kuwa jaji wa...
Zipo sababu kadhaa zinazowafanya makada wa CCM kuendelea kuing'ang'ania katiba iliyopo isibadirishwe na iendelee kuwepo kwa jinsi ilivyo. Kubwa kuliko zote ni maslahi ya chama chao, kila mwana CCM...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza napenda kukupongeza kwa hotuba yako nzuri wakati wa ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza au kushona nguo cha jeshi la polisi.
Nilivutiwa na jinsi...
Kitendo cha KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kumtelekeza mgombea wa chama chake mzee Membe na kumuunga mkono Tundu Lisu wa Chadema wakati wa uchaguzi mkuu hakikuwa cha kiungwana kabisa.
Kwa sasa...
Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni...
Nilipita mahali nikamkuta rafiki yangu hakimu akiwa analalamikia upendeleo uliokithiri katika serikali yetu. Kwamba badala ya kuteua watu competent na walioitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa...
Naomba bora niweke wazi maana ya kutumia neno "OUR MAN".
Definition of our man in —— in English:
our man in ——
NOUN
One's representative or envoy in a specified place.
Baada ya kufafanua...
Vijana wapo tayari kujitolea kazi hata kama Serikali ingeandaa plan ya kuwaajiri Watu kwa posho la laki moja tu ilimradi Mtu kapewa hata kiwanja maeneo hayo ya kijijini kama ofa.
Kwa mfano mtu...
Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya, China, USA, CANADA, SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida. Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.
Wananchi wao wamepata chanjo na sasa...
Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia...
Nakumbuka enzi za JK mtu mmoja aliweza ku-attend seminars tatu kwa siku. Na wengine walikaa chini ya mti kuandika report ya uongo. Haya niliyashuhudia mwenyewe kwa macho yangu na wala simsingizii...
Huyu waziri wa kilimo Proffesor Mkenda ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kupresent hoja zake, ni msomi mahiri na atatufaa sana siku moja kwenye kile kiti kikubwa.
Toka atenguliwe na itangazwe anachunguzwa DC mwenye tuhuma Ole Sabaya haonekani popote sio nyumbani sio vituo vya polisi.
Sisi watu wa habari tulitaka kufanya naye mahojiano naye kupata habari...
Vifaa vyenye thamani ya bilioni 16 vya kujenga daraja la Busisi vimeibwa eneo la Kigongo Busisi Mwanza
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi...
SACP CAMILIUS WAMBURA KAMANDA KANDA MAALUM DSM
===
INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya viongozi ndani ya Jeshi la Polisi ambapo amemhamishia...
Mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia amemtaka Waziri wa Ujenzi kuangalia namna ya kuiwezesha TAZARA kuwa na treni ya umeme.
Dr. Tulia amesema Tanzania ni moja na Wananchi wa pande zote wanahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.