PICHA : Dr. Makongoro Mahanga ( CHADEMA ) kachoka sana

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wandugu, huyu jamaa sijui kapatwa na nini. Ni uzee au ni kuchoka tu kifedha, kisiasa na kijamii ?

Amevaa kombati ya CHADEMA imemvaa sana. Nguo zimempwaya sana.

Jamaa huwa anajishughulisha na nini?

Sura na ngozi vimekunjamana sana.

Jamaa hoi sana.

Kabanwa kila idara.
pic%2Bmahanga.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa dunian kuna watu wapo interested na Maisha ya watu kushinda hata maisha yao wenyewe .

Kwamfano, Mtoa mada. Ungejikita ktk Siasa za huyu Mwanasiasa, ungepungukiwa nn mpaka ukaanza jadili maisha binafsi tena mpaka unasema ngozi????

Weee kiboko aiseee!!! .
Mkuu usishangae wanawake wa kiswazi ndivyo walivyo,anaweza akamsema mwenzie kwa kula ugali dagaa wakati yeye hata kisamvu kaomba kwa jirani
 
Naona hakujiandaa kustaafu kwa ufahari. Sijui yale mapesa ya uwaziri na ubunge huwa wanayapelekaga wapi. Nasikia hata gari lake aina ya Prado aliliweka bondi ili apate kamkopo ka fedha...
 
Wandugu, huyu jamaa sijui kapatwa na nini. Ni uzee au ni kuchoka tu kifedha, kisiasa na kijamii ?

Amevaa kombati ya CHADEMA imemvaa sana. Nguo zimempwaya sana.

Jamaa huwa anajishughulisha na nini?

Sura na ngozi vimekunjamana sana.

Jamaa hoi sana.

Kabanwa kila idara.View attachment 846897

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuwekee na picha za wanaccm wenzake aliokuwa nao huko ambao hawako madarakani hivi sasa tuone afya zao.
 
Tuwekee na picha za wanaccm wenzake aliokuwa nao huko ambao hawako madarakani hivi sasa tuone afya zao.
Mkuu naona hapa siyo suala la CCM ama CHADEMA, hapa kuna suala la mtu ambaye huenda ana changamoto ya kiafya. Sioni sababu yoyote ya kujadili afya ama muonekano wa mtu.
 
Wandugu, huyu jamaa sijui kapatwa na nini. Ni uzee au ni kuchoka tu kifedha, kisiasa na kijamii ?

Amevaa kombati ya CHADEMA imemvaa sana. Nguo zimempwaya sana.

Jamaa huwa anajishughulisha na nini?

Sura na ngozi vimekunjamana sana.

Jamaa hoi sana.

Kabanwa kila idara.View attachment 846897

Sent using Jamii Forums mobile app

Weka picha yako tuone nawe ukoje.mfyuuuuuu
 
Back
Top Bottom