Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Kuna watu wanaleta propaganda za ajabu sana nchini, kwamba eti tumerudi kwenye umaskini kwa sababu ya Rais mpya.
Naomba kuwauliza lini tumewahi kuwa matajiri? Hizi mentality za kitumwa tumezitoa wapi? Unafunguliwa kifikra na kupewa Uhuru wa kuwaza na kusema unasema umekuwa maskini?
Kwamba tulipotoka ambapo kesi 147 zilikuwa zakubambikiwa ndo utajiri? Kwamba uchumi tulioaminishwa upo 6.7 kumbe upo 4.8 ndo utajiri? Kwamba uharibifu wa demokrasia ndio utajiri? Upokwaji wa Uhuru wakujieleza ndio utajiri?
Kwamba wanapropaganda Hawa wamefika sehemu wanaamini kwenye vitu kuliko kuamini ustawi wa watu? Hapana tukubali kwamba tumechelewa na tunahitaji Katiba mpya yakutuepisha na mkono wa chuma. Taifa linahitaji watu si mtu.