Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili Tatizo la kukosa uzalendo katika nchi hii bado linatafuna Taifa siyo kwa watumishi wa umma tuu hata wa sekta binafsi. Nampongeza PM kwakuingilia kati issue ya Wizara ya Fedha .Nafkiri Elimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
RC MAKALLA AWAPA WAKUU WA WILAYA VIPAOMBELE 8. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amefanya kikao na Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Makatibu tawala na kuwapatia maagizo nane ya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tusiwe na double standards. Halima et al wanalipwa mabilioni bila kuwa wabunge kama sheria inavyotaka na Mamlaka Kuu za Serikali zimebariki including the Executive, basi waacheni na wa Wizara ya...
2 Reactions
0 Replies
681 Views
Jana WAZIRI MKUI kawasimamisha VIGOGO wa WIZARA ya FEDHA kwa WIZI wa Sh.1.6 Bil. Ndani ya Miezi 2 lakini WAZIRI MKUU huyo huyo Yuko BUNGENI na WABUNGE 19 Waliofukuzwa na CHADEMA hivyo Kupoteza...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ni hivi: Ingekuwa ni jambo la hatari sana kama kila mtu angejitoa akili (angejisahaulisha) kuhusu mapungufu ya Marehemu Magufuli na utawala wake na kisha wote tungeungana katika...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema hivi leo ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya. Kama mkuu wa chuo mpya atajitahidi kutatua kero zilizopo hapo chuoni...
32 Reactions
387 Replies
53K Views
Tulivyo ambiwa nikwamba sasa hv mapato ya serikali yapo chini kiasi kwamba haiwezi kuongeza mishahala ya watumishi. Sasa najiuliza haya mapendekezo ya mkoa mpya hela zinatoka wapi? Ukiuliza neno...
0 Reactions
3 Replies
698 Views
UTAFUTAJI wa vyeo kama ubunge na vingine vya maofisini miongoni mwa wanawake wasiojiamini, ni sababu kubwa ya kuendelea kuwepo kwa rushwa ya ngono nchini. Aidha, imeelezwa kuwa matumizi...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Kuna uzi hapa uliwekwa ukiwa na ukurasa wa gazeti lenye kichwa cha habari kama nilichoandika hapo juu. Ambapo pia kuliandika Raisi amtumbua Mkurugenzi ... Kisha mwandishi akahoji, kama wewe...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
SABAYA NAKUHURUMIA HUKUMJUA MBOWE NI NANI? Wakati unahangaika na mambo ya Ardhi, Mambo ya Qnet, Mambo ya Watumishi wa Umma, kutatua changamoto za wananchi wa Hai Tulidhani Dhamira yako ni ya...
45 Reactions
106 Replies
16K Views
Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa CHADEMA imekufa kisa wabunge wake wamehamia CCM. Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa CHADEMA sasa imebakia jina MATAGA...
16 Reactions
73 Replies
48K Views
Ni ujumbe unaoonekana wa kawaida kabisa kutoka kwa Dr Kagasheki. But timing yake inaufanya ujumbe huu ubebe uzito mkubwa na wa kipekee. Ni ujumbe kwa Watanzania kuwa tusiamini kila kitu kitokacho...
25 Reactions
152 Replies
13K Views
Kwa hakika Chama hiki (CHADEMA)kina mipango, mikakati na dhamira ya dhati ya kuchukua dola. Wanajua njia waipitayo. Msimamo wa mwenyekiti Mbowe ni thabiti na haujawahi kuyumba. Wakati CCM wakiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwetu si jambo geni kukuta mtaa\barabara na hata jengo kuwa na jina la kiongozi wa nchi nyingine aliyeko au aliyetoka madarakani.je nasi wakwetu ni hivyo kwa wenzetu?
1 Reactions
50 Replies
7K Views
DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…