Kuna nchi yoyote yenye barabara/mtaa wenye jina la kiongozi wa Tanzania?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Kwetu si jambo geni kukuta mtaa\barabara na hata jengo kuwa na jina la kiongozi wa nchi nyingine aliyeko au aliyetoka madarakani.je nasi wakwetu ni hivyo kwa wenzetu?
 
jina la nyerere nadhani lazima litakua at least barabara nchi moja ya Africa, maana jamaa aliwapigania sana
 
Labda la JK maana amesafiri sana, ila mzee wa pushups hata kijijini kwao halipo kwa sababu anawatumikia wananchi
 
Kwetu si jambo geni kukuta mtaa\barabara na hata jengo kuwa na jina la kiongozi wa nchi nyingine aliyeko au aliyetoka madarakani.je nasi wakwetu ni hivyo kwa wenzetu?

Ukiacha uvivu ukatumia google map utaona miji mingi tu ina barabara ama mitaa ya Nyerere....
Nairobi, Mombasa, Lusaka, Accra etc....
 
kw
Kwetu si jambo geni kukuta mtaa\barabara na hata jengo kuwa na jina la kiongozi wa nchi nyingine aliyeko au aliyetoka madarakani.je nasi wakwetu ni hivyo kwa wenzetu?
ani Bilcanas ni kiongozi wa nchi gani?
 
Nyerere iko Harare, tena ni barabara muhimu kweli, iko mjini kabisa. Ndio barabara ya kwenda Sheraton Hotel na jengo la ZANUPF.
Nyerere iko tena Mozambique, iko Kenya na hata South Africa.

Ova
 
Kwetu si jambo geni kukuta mtaa\barabara na hata jengo kuwa na jina la kiongozi wa nchi nyingine aliyeko au aliyetoka madarakani.je nasi wakwetu ni hivyo kwa wenzetu?
Ndugu TANZANIA hoja yako ya msingi hasa ni nini?
 
Back
Top Bottom