Tatizo la kukosa uzalendo katika nchi hii bado linatafuna Taifa

TXGA

Member
Apr 16, 2021
11
45
Hili Tatizo la kukosa uzalendo katika nchi hii bado linatafuna Taifa siyo kwa watumishi wa umma tuu hata wa sekta binafsi.

Nampongeza PM kwakuingilia kati issue ya Wizara ya Fedha .Nafkiri Elimu ya uzalendo ianzie kufundishwa primary school mpaka vyuo vikuu...sprit ya kizalendo huenda ikawaingia vijana wetu la sivyo Tutajenga Taifa la ajabu mno siku zijazo ..
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Nani afanye huo upumbavu? Ndugai anachezea pesa za umma tena ndiyo mtunga sheria no 1, wabunge mishahara minono na posho juu, nani anataka watoto wake wasome hizi asante Makonda? Rais mshahara wake ni mkubwa hakatwi kodi na huku anahudumiwa kila kitu, uzalendo uanze na viongozi kwanza
 

Sinanjema

Senior Member
Dec 11, 2017
185
250
Uzalendo ungeanzia ngazi juu kwanza,haiwezekani eti mtu anaubiri uzalendo yeye anapokea milion 20 kwa mwezi alafu Mimi hata uhakika wa laki sina kwa mwezi
 

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
9,117
2,000
Uzalendo Ni SoMo gumu Sana, spika anawalipa wabunge wasio na chama bungeni, mamilioni ya kutisha...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom