Mishahara ya wabunge 19 wasio na chama ni wizi kama wa watendaji wa wizara ya fedha

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,369
2,000
Jana WAZIRI MKUI kawasimamisha VIGOGO wa WIZARA ya FEDHA kwa WIZI wa Sh.1.6 Bil. Ndani ya Miezi 2 lakini WAZIRI MKUU huyo huyo Yuko BUNGENI na WABUNGE 19 Waliofukuzwa na CHADEMA hivyo Kupoteza SIFA ya kuwa WABUNGE kwa Mujibu wa KATIBA lakini SERIKALI yake INAWALIPA MISHAHARA huo nao ni WIZI
 
paschal Martin

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
401
500

Mbona haya mambo ya hawa wabunge spika kashayaelezea vizuri tu ameletea kamemo tu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Jana WAZIRI MKUI kawasimamisha VIGOGO wa WIZARA ya FEDHA kwa WIZI wa Sh.1.6 Bil. Ndani ya Miezi 2 lakini WAZIRI MKUU huyo huyo Yuko BUNGENI na WABUNGE 19 Waliofukuzwa na CHADEMA hivyo Kupoteza SIFA ya kuwa WABUNGE kwa Mujibu wa KATIBA lakini SERIKALI yake INAWALIPA MISHAHARA huo nao ni WIZI
Ukitaka kujua tuna aina gani ya Waziri Mkuu angalia nywele zake wala usihangaike mkuu
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Tuna nchi ya ajabu kabisa bila katiba mpya watu acha waendelee kupiga pesa hakuna namna
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,369
2,000
Sasa kama aliwahoji mbona hajawafukuza!
Kwani Mwambe Alimfukuza? Kwa Faili kuwa Milembe unatarajia nini
JamiiForums1679358065.jpg
 
paschal Martin

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
401
500
Tuna nchi ya ajabu kabisa bila katiba mpya watu acha waendelee kupiga pesa hakuna namna
Hivi kwanini msianze na katiba ya chadema kwanza maana mimi sielewi katiba ya chadema inamruhusu Mbowe kuwa mwenyekiti wa milele nakakigeuza cha kama taasisi au mali yake na pia saccos yake mngeanza na hayo kwanza ndio mjemfatilie katiba ya nchi
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,061
2,000
Hivi kwanini msianze na katiba ya chadema kwanza maana mimi sielewi katiba ya chadema inamruhusu Mbowe kuwa mwenyekiti wa milele nakakigeuza cha kama taasisi au mali yake na pia saccos yake mngeanza na hayo kwanza ndio mjemfatilie katiba ya nchi
CCM imewahi lini kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti? shame on you katiba ya chama na ya nchi zinahusiano gani?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,024
2,000
Ukihukumiwa kwenda jela ukakata rufaa unaachiwa mpaka rufaa yako isikilizwe?
Katiba ya Chadema ndivyo inavyosema Baraza kuu ndio lenye maamuzi ya mwisho.

Kamati kuu haiwezi kumfukuza mtu uanachama unless mtu huyo aamue mwenyewe kukubaliana na wito wa CC!
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,799
2,000
Jana WAZIRI MKUI kawasimamisha VIGOGO wa WIZARA ya FEDHA kwa WIZI wa Sh.1.6 Bil. Ndani ya Miezi 2 lakini WAZIRI MKUU huyo huyo Yuko BUNGENI na WABUNGE 19 Waliofukuzwa na CHADEMA hivyo Kupoteza SIFA ya kuwa WABUNGE kwa Mujibu wa KATIBA lakini SERIKALI yake INAWALIPA MISHAHARA huo nao ni WIZI
Ukiacha hilo la wabunge 19, ile mishahara ya wabunge ya mamilioni nao ni wizi kwa watanzania
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,644
2,000
Jana WAZIRI MKUI kawasimamisha VIGOGO wa WIZARA ya FEDHA kwa WIZI wa Sh.1.6 Bil. Ndani ya Miezi 2 lakini WAZIRI MKUU huyo huyo Yuko BUNGENI na WABUNGE 19 Waliofukuzwa na CHADEMA hivyo Kupoteza SIFA ya kuwa WABUNGE kwa Mujibu wa KATIBA lakini SERIKALI yake INAWALIPA MISHAHARA huo nao ni WIZI
Tatizo watu hudhani maisha yatabaki kama ilivyo leo!! Lakini ni kuwa maisha yatabadilika na "Igandu" kujikuta anadaiwa kusababisha hasara ya mamilionj ya fedha alizowalipa hawa wabunge 19 walioko mfukoni mwake! Wanaomuunga mkono kwa sasa watamgeuka!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom