Mlioaminishwa kuwa CHADEMA imekufa poleni sana maana CHADEMA ni sawa na nyegere

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,690
2,000
Wafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa CHADEMA imekufa kisa wabunge wake wamehamia CCM.

Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa CHADEMA sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.

Sasa nawaambia kuwa CHADEMA ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka aitwaye ...NYEGERE yaani HONEY BURGER.

CHADEMA ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.

Sasa CHADEMA tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,584
2,000
Wafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa cdm imekufa kisa wabunge wake wamehamia ccm.

Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa cdm sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.

Sasa nawaambia kuwa cdm ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka.

Cdm ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.

Sasa cdm tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

......https://www.instagram.com/p/CPbCqPNAZmp/?utm_medium=copy_link
Chadema imeishia kupongeza tu
 
Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
1,336

Dj ameshindwa kulipa mishahara
20210527_213348.jpg
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,208
2,000
Wafuasi wakubwa wa mwendazake waliambiwa na wakaaminishwa kuwa cdm imekufa kisa wabunge wake wamehamia ccm.

Baada ya uchagzi tukaaminishwa na Polepole kuwa cdm sasa imebakia jina MATAGA wakakenua meno.

Sasa nawaambia kuwa cdm ni sawa na mnyama katili na mvumilivu wa maumivu na sumu kali hata ya nyoka.

Cdm ilionewa sana na kama isingekuwa uongozi thabiti wa mh Mbowe leo hii cdm ingekuwa sawa na CUF,TLP na wenzake kina TADEA na NCCR.

Sasa cdm tumeanza kujiimarisha na kuthibitisha kuwa sisi ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.

......https://www.instagram.com/p/CPbCqPNAZmp/?utm_medium=copy_link
Bogus na pumba toka kwa mburula wa Cdm
Chadema ipo kwenye makaratasi ya msajiri
 
mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,863
2,000
Watu washafukia kichwa wewe unajidai bado hakijafa.
Tuanze na hili hiko cdm kilichopo kiko wapi? Kama cdm ni Mbowe sawa kipo ila kama kuna Jibu tofauti na hilo basi kishakufa long time.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,690
2,000
Watu washafukia kichwa wewe unajidai bado hakijafa.
Tuanze na hili hiko cdm kilichopo kiko wapi? Kama cdm ni Mbowe sawa kipo ila kama kuna Jibu tofauti na hilo basi kishakufa long time.
Aliyekufa ni mtabiri wa kifo cha cdm
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
17,719
2,000
Ccm sasa hivi inajipigia tu kiulaini maana majamaa yamejipeleka kibra yenyewe!

Kwa akili zao yanaamini kushindwa kwao ni kwa sababu ya Magufuli. Ngoja ccm iendelee kuwamega
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom