Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna watu wanajiona ni bora zaidi ya wengine wote bila kujua kuwa elimu yetu ndiyo tunu pekee ya kuongoza taifa letu. Wanasiasa mnapojifanya hamuoni tatizo la ajira kwa vijana wetu mjiandae...
20 Reactions
57 Replies
4K Views
Kumekua na malalamiko kwa viongozi wa siasa kwamba mabando ni ghali. Swala hili wansiasa wanaoichukulia haraka kwa sababu wanajua linagusa kila mtanzania wasijue kwamba Tanzania ndio inagharama...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa itifaki za kitaifa kwamba Rais mstaafu ni cheo au ni hadhi? Kwa mfano pale Kenya Mh. Mwai Kibaki anatambulishwa kama Rais wa zamani wa Kenya na huwa hana misafara...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau mimi sina Uelewa mpana wa Masuala ya Katiba ya nchi, nimeamu nililete Kwenu Suala hili ili nijifunze juu ya usimamizi wa katiba ya nchi. Swali langu ni: Je, ni nani mwenye mamlaka kisheria...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni muda umepita huyu Waziri wa Madini, Angela Kairuki sijamsikia iwe Bungeni, kwenye shughulu za Serikali au hata kwenye shughuli za kijamii. Nilitegemea angetupa mrejesho ule ukuta wa Mererani...
17 Reactions
160 Replies
31K Views
Wadau wa JF nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani ameshiriki Mkutano maalumu wa Mtandao wa Viongozi...
0 Reactions
5 Replies
996 Views
Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena. Kazi Iendelee! Kesho ni Pentecoste.
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzay Mheshimiwa Samia Suluhu leo Mei 22, 2021 amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania ( TRC) Masanja Kadogosa Katika...
9 Reactions
139 Replies
14K Views
Hebu kulalamika na kulaumu tu pause kidogo. Chukulia umepata nafasi ya kuwa Rais wa JMT, Waziri Mkuu, Waziri, Katibu Mkuu kwenye wizara, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mbunge, Diwani, na kadhalika na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Matukio katika ziara ya mapokezi na utambulisho wa Sekretarieti mpya ya Halmashauri kuu ya @ccm_tanzania Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndugu Daniel Chongolo walipowasili katika ofisi za CCM...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania imepitia vipindi tofauti vya siasa lakini kwa muda wa karibu miongo mitatu ilikuwa chini ya utawala wa chama kimoja. Hatimaye Siasa za upinzani zilirejeshwa tena nchini mwaka 1992 baada...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Katika mahojiano kupitia kituo cha Startv Lazaro Nyalandu akihojiwa na mwanahabari nguli Aloyce Nyanda amesisitiza kuwa katika kinyamg'anyiro cha kura za maoni kupata fursa...
5 Reactions
143 Replies
10K Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yapokea msaada wa vifaa vya haraka vya kupimia COVID 19 aina ya Rapid Test, vyenye thamani ya shilingi Milion 250 za Kitanzania. Makamu wa kwanza wa Rais wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaam TRA. Mama took office in late March. Kwa hiyo ni vigumu kumwekea mzigo wa March 2021. Naomba mambo yake yaanze Aprili 2021. Msimchoshe na mambo ya nyuma, yaani kabla ya April 01. Ombi...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukiwekeza katika kupata maarifa, ukajituma katika kazi unayoipenda hakuna shaka utaweza kupata heshima katika jamii inayokuzunguka. Kwa wasiofahamu Hoyce Temu ni kati ya watanzania wachache vijana...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Upendo ni jambo muhimu na la baraka mbele zake Mungu. Chadema walimpenda sana Spika Ndugai na hasa pale walipobaki na Dr Tulia wakati Job akiwa India kwa matibabu walimlilia na kumuombea uponyaji...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam! Wote tunajua ya kwamba tuko katika transition period ili tufikie jitihada za kureform nchi yetu katika nyanja mbalimbali hususani biashara ambayo mifumo yake imearibiwa ndani ya miaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali kufungua Viwanda ilivyofunga akisema wengine walionyang'anywa wana uwezo, na waliosababisha Viwanda vifungwe ni Serikali...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Vijana wa mataga mpate taarifa zenu na msijisahau Mtetezi wenu na mungu wenu ashakufa huu ni wakati wenu wa kumfuata jee mwajua maana ya kumfuata??nashauri mtumie njia ya kuweza kufika kwa baba...
12 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom