Kuna uzi hapa uliwekwa ukiwa na ukurasa wa gazeti lenye kichwa cha habari kama nilichoandika hapo juu. Ambapo pia kuliandika Raisi amtumbua Mkurugenzi ...
Kisha mwandishi akahoji, kama wewe Unglikuwa Magufli ungefanya nini?
Nasikitia imeondolewa sijui kwa sababu Magufuli hatakiwi kupewa mawazo, kusahihishwa ama kukosolewa? Sasa ina maana yeye si binadamu maana hakuna binadamu mwenye uwezo wote. Huyo ni Mungu Tu.
Sasa ninaomba tuendeleze shauri zetu hapa kwa nia nzuri ya kuongeza ufanisi kwa serikali ka maslahi mapana ya taifa.
Mimi ninaona:-
Ningelikuwa Magufuli, ningeanzia na fisadi za awali kwanza ambazo zilihalalishwa na serikali ya ccm na kuwa moja ya nguzo kuu ya utawala.
Ningetengeneza task force ya watu wachache wasio na tuhuma na wenye kuonyesha uzalendo kwa nchi, wenye kukerwa na ushetani huo uliozalishwa na kukuzwa na ccm, wenye taaluma na sifa sahihi za kutambua, kutafsiri, kuratibu hatua sahihi dhidi ya fisadi mbali mbali zilizofanyka hapa TZ tangu uhuru.
Task force hiyo ingepitia taarifa zote zenye kureport ufisadi, zilizowahi kua kwenye public kama Richmond zikazikwa, hata ambazo taarifa zake haikuwahi kuja hadharani.
Kila moja wangeifanyia kazi ypya kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi na kuwasilisha kwangu summary ya kila kitu tukio kwa tukio, wahusika na uhusika wao, wenye tuhuma na wasio na tuhuma, mapendekezo ya hatua muhimu, nani afanye na muda.
Mimi ningepitia hizo na kufanya marudio pale nahitaji kujiridhisha zaidi, kisha ningekabidhi kwa idara husika kwa hatua sahihi na za haraka. Hii ni kwa sababu ya ufisaid a ccm ambao hata ni vigumu kujua nani ni nani na yuko upande upi, na hivyo close monitoring ni muhimu. Vinginevyo ilikuwa ni kuzipa mamlaka husika amri ya kushughlika na report hizo kwa misingi ya haki, sheria na katiba, na mimi kama raisi napata taarifa za utekelzaji a agizo langu.
Hii ya kupapasa papasa mara hapa mara pale mara hiki mara mengine hayatumbuliki, mara watendaji wake wanakimbia kutoa siri za mpango kazi wake kama "mita za bandari", ni danganya toto na ulaghai kwa Watanzania. Hakuna kitu n amaisha yanazidi kuwa magumu.
Intervention yoyote isiyokuwa na matokeo yanayoweza kutafsiriwa katika ubora ama unafuu wa maisha ya watu wa kawaida kwa muda mfupi na mrefu, ni hadaa na matumizi mabaya ya raslimali za taifa. Ni sawa na kubeba maji kwenye gunia!.