Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,867
IMG-20210527-WA0002.jpg
 
Hivi karibuni yule Sultan Jamshid aliyepinduliwa Zanzibar na akakimbilia Uingreza na kuishi huko kwa miongo mingi, ameondoka huko na familia yake na kusogea karibu na Zanzibar huko Oman!

Je, kuna uhusiano wowote kati ya kusogea kwake na chokochoko hizi tunazoanza kuziona za Wazanzibari kutaka kuvunja muungano?
 
Ina maana hawa kina bakharesa watarudi Zanzibar muungano ukivunjika? Niliwahi sikia wawekezaji wengi tu wa bara ni kutoka Zanzibar ni kweli?
 
Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue, mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa Pwani, maana mnajua kisheria hamtoki. Halafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.
 
Hilo halina mjadala unakuwa na ndugu alafu anakuwekea guu la shingo tuacheni tupumue,mnaogopa kuchukuwa zile 10km za ukanda wa pwani,maana mnajua kisheria hamtoki. Aafu saivi yupo Samia da tukiikosa chansi hii itabidi tusubirie mwengine akate roho.

Haya Mwambie Samia Ajaribu.......!

Ila we jamaa ulitakiwa kuficha jina la muandishi wa barua. Utamletea mwenzio shida.
 
Back
Top Bottom